Uchaguzi 2020 Kitendo cha Tundu Lissu kukubalika Kanda ya Ziwa kwa kiwango hiki inaashiria nini?

Safari hii inabidi tukubali kuwa.
Tundu kuwa rais imeisha hiyo
Huyu aliyepigwa risasi upande wa kushoto na kuumia upande wa kulia!πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ endeleeni na drama zenu funguo ya ikulu ipo kwenye mfuko wa baba laoπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„.



MAGUFULI4LIFE.
 
Musiwe wepesi wa kusahau, hakuna mtu alikuwa anakubarika kama Lowasa. Watu waliesha uwanjani, watu walideki barabara. Watu wa kanda ya Ziwa ni very dynamic.
 
n
,
Chiiiiiiiiii! wewe hutujui vizuri wasukuma,
Dugitanaga " gubodelejiwa" bhugwelela bhudogo ebheeee
onywanoko be sio kweli bakolilwe abanhu kuyugopwa sagala guke ubuluba budogo be ukung'unha ube
 
Tumeshawaambia hadi tumechoka picha zenu za kuchakachua za kitengo chenu cha uchakahuaji CHADEMA tumezichoka.Mwacheni Lowasa apumzike picha zake za mikutano yake mlizochakachua inatosha.
Jana tumejionea ITV ....dah hata mimi sikutegemea lile nyomi........hata Chato?
 
Duh, hiyo namba sijui nimeosoma kwa kugeuza? Au ulimaanisha 1920 yaani miaka 2 kabla ya Nyerere kuzaliwa?
Huyu Lissu huyu kweli wa miujiza sana, picha zake za zamani wanatambia Leo?
Hata TV inadanganya?
 

..huu ni umati uliomzomea Tundu Lissu.

..halafu kuna umati uliompokea na kumshangilia.

..binafsi sidhani kama kilichotokea ni jambo baya, unless ppl got physical with one another.

..mwanasiasa anapofika eneo lolote ni lazima ayapime makundi hayo mawili.
 
Aina shida. Wengi wetu atuna vitambulisho. Ni watoto wasio na vitambulisho vya kura. CCM wanjanja sana
 
Magu sio Msukuma..jipange
 
,
Chiiiiiiiiii! wewe hutujui vizuri wasukuma,
Dugitanaga " gubodelejiwa" bhugwelela bhudogo ebheeee
Ila Magu sio Msukuma...ndio maana anaongea vilugha vingi aonekane Mtanzania..rudi kwenu tumekuchoka..anawezaje mtu kupigwa risasa 16 hata jambazi hafanywi hivyo alafu unakaa kimya
 
Lakini mwingine akizomewa anaamuru wazomeaji wakamatwe !
 
Maana yake demokrasia imeeleweka vizuri.
Watu wanasikiliza pande zote na kutoa maamuzi.
 
Tumeshawaambia hadi tumechoka picha zenu za kuchakachua za kitengo chenu cha uchakahuaji CHADEMA tumezichoka.Mwacheni Lowasa apumzike picha zake za mikutano yake mlizochakachua inatosha.
Unaumia sana ila basi tu unajitahidi hivyo hivyo kuongea
 
Mkuu hata Huko Pemba Magufuli atazoa?
 
Kanda ya Ziwa ni pro upinzani toka mwaka 1995.

Walichokosea huwa wanabadilika kila uchaguzi, this time naona upepo uko upinzani watachagua upinzani wabunge wengi sana.

Huenda Geita ccm alishinda jimbo la Buchosa na jimbo la Bichosa tu kwa hali niliyoiona Joseph Msukuma sidhani kama atarejea bungeni tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…