Hivi mtu anayekubalika huwa anazomewa?????Huyu jamaa amezomewa Katoro Geita.Nimetafakari na kujiuliza sana jambo hili , huyu mtu tuliyeaminishwa kwamba ni msaliti wa Taifa , akashambuliwa kinyama na kutelekezwa ili akafie mbali , kama haitoshi akavuliwa ubunge bila huruma na akatishwa asirudi nchini , bali pamoja na lundo la vitisho Lissu amerudi nyumbani kishujaa.
Cha ajabu ni kwamba kila anapopita kwenye kampeni zake za kuomba Urais watu wanajaa kupita kiasi , na cha kushangaza zaidi ni huko kanda ya ziwa ambako tuliaminishwa kwamba ni ngome ya watu wengine ndiko ilikovunjiwa rekodi ya umati kwenye mikutano yake , Katoro , Sengerema na Geita ni mifano hai ya hoja yangu
Swali langu ni hili , kwa umati huu unaojitokeza kwenye mikutano ya Lissu huko kanda ya ziwa ni kiashiria cha jambo gani ?
Hizi hapa ni picha za Geita , Mkoa unaosemekana alizaliwa Mgombea Urais wa CCM , jioneeni wenyewe .
Bro watapoteana humu we subiri uone.Mimi naomba tarehe 29 na 30 mwezi ujao muwepo humu! Nina kuhakikishia hapa hakuna mkoa wowote wala jimbo lolote ambalo Lissu atashinda kwa ujumla wa Kura dhidi ya Magufuli tena uko kanda ya Ziwa ndio usiseme kabisa!
Mimi naomba usije ukalimbia jukwaa!
Kamwe Lissu awezi mshinda Magufuli kwenye jimbo lolote wala mkoa wowote hapa Tanzania!
Najua sasa hivi utonielewa lakini tarehe 30 utanielewa! Kamwe Kamwe tena uko kanda ya Ziwa Lissu hatoweza kupanda ushindi hata ule unao mkaribia Magufuli hata chembe!
Naomba tuombe Mungu atuweke hai hadi tarehe 28 hakika tutaona na tutarudi hapa kusimuliana!
Siyo Mwanza na Musoma, ni tarime na mwanza ndiko magari yake yanafanya safari zakeJiwe hafai nakwambia!! Ndo mana hata kwao wamemkataa. Huyu jamaa ana roho mbaya haijawai tokea muulize yule mfanyabiashara wa Mwanza na Musoma Peter Zacharia aliyekuwa rafiki yake atakwambia
Magu sio Msukuma..jipange
Mkuu unaweza kufunguka zaidi kwenye hili ?
Cha kushangaza sa ni kuwa kila anaesema CCM itashinda hataji sababu, kuna nini hicho kilichojificha ambacho kitaifanya CCM ishinde hata mahali isipopendwa kabisa kama Kagera na pahari pengine ambako haisemwi vizuri?Mkuu Ruttashobolwa , asante sana kwa kuwaeleza watu humu ukweli huu, japo watu humu watakubeza, lakini ukweli siku zote, una tabia moja, husimama mpaka mwisho.
Maadam tarehe 28 inakuja, tusiendelee kuandikia mate wakati wino upo!.
Ila pia kuna kitu umewasaidia hawa waota ndoto mchana bila wao kujijua, umewaokoa na kupata ugonjwa wa depression kutokana na too great expectations, kuwa mtu wao atashinda, hivyo ukweli kama huu unawasaidia kuwaandaa kisaikolojia kupokea kipigo cha mwaka, hivyo watakaposhindwa, wataishia kuumia tuu lakini hawata athirika kisaikolojia, na namna pekee ya kujifariji itakuwa ni kulia sana kwa kupiga makelele ili kuondoa machungu.
p
Inaashiria HURUMA NA MSHANGAO waliona watu wa Kanda ya Ziwa kuhusu Lissu na zile risasi 16 za ndege! Ndio kisa cha wao kufurika hivyo. No more no less!Nimetafakari na kujiuliza sana jambo hili , huyu mtu tuliyeaminishwa kwamba ni msaliti wa Taifa , akashambuliwa kinyama na kutelekezwa ili akafie mbali , kama haitoshi akavuliwa ubunge bila huruma na akatishwa asirudi nchini , bali pamoja na lundo la vitisho Lissu amerudi nyumbani kishujaa.
Cha ajabu ni kwamba kila anapopita kwenye kampeni zake za kuomba Urais watu wanajaa kupita kiasi , na cha kushangaza zaidi ni huko kanda ya ziwa ambako tuliaminishwa kwamba ni ngome ya watu wengine ndiko ilikovunjiwa rekodi ya umati kwenye mikutano yake , Katoro , Sengerema na Geita ni mifano hai ya hoja yangu
Swali langu ni hili , kwa umati huu unaojitokeza kwenye mikutano ya Lissu huko kanda ya ziwa ni kiashiria cha jambo gani ?
Hizi hapa ni picha za Geita , Mkoa unaosemekana alizaliwa Mgombea Urais wa CCM , jioneeni wenyewe .
Labda nchi ya kufikirikaKwani Usukuma ndio sifa ya mtu kuwa kiongozi? watu wanamtaka Magufuli.
unless your myopic kadaMimi naomba tarehe 29 na 30 mwezi ujao muwepo humu! Nina kuhakikishia hapa hakuna mkoa wowote wala jimbo lolote ambalo Lissu atashinda kwa ujumla wa Kura dhidi ya Magufuli tena uko kanda ya Ziwa ndio usiseme kabisa!
Mimi naomba usije ukalimbia jukwaa!
Kamwe Lissu awezi mshinda Magufuli kwenye jimbo lolote wala mkoa wowote hapa Tanzania!
Najua sasa hivi utonielewa lakini tarehe 30 utanielewa! Kamwe Kamwe tena uko kanda ya Ziwa Lissu hatoweza kupanda ushindi hata ule unao mkaribia Magufuli hata chembe!
Naomba tuombe Mungu atuweke hai hadi tarehe 28 hakika tutaona na tutarudi hapa kusimuliana!
Rutashobolwa Ruttashobolwa Ruttashobolwa ninani aliyekuloga? Amin nakuambia lissu atashinda hata kabla ya jogoo wa tatu hajawika ..na ndipo mtakapolia na kusaga meno ..tubuni dhambi zenu kabla Mambo hayajaharibika ..ohooo shauri yenuMimi naomba tarehe 29 na 30 mwezi ujao muwepo humu! Nina kuhakikishia hapa hakuna mkoa wowote wala jimbo lolote ambalo Lissu atashinda kwa ujumla wa Kura dhidi ya Magufuli tena uko kanda ya Ziwa ndio usiseme kabisa!
Mimi naomba usije ukalimbia jukwaa!
Kamwe Lissu awezi mshinda Magufuli kwenye jimbo lolote wala mkoa wowote hapa Tanzania!
Najua sasa hivi utonielewa lakini tarehe 30 utanielewa! Kamwe Kamwe tena uko kanda ya Ziwa Lissu hatoweza kupanda ushindi hata ule unao mkaribia Magufuli hata chembe!
Naomba tuombe Mungu atuweke hai hadi tarehe 28 hakika tutaona na tutarudi hapa kusimuliana!
Waambie, mambo ya mitandaoni wanadhani ndio kura zenyeweMimi naomba tarehe 29 na 30 mwezi ujao muwepo humu! Nina kuhakikishia hapa hakuna mkoa wowote wala jimbo lolote ambalo Lissu atashinda kwa ujumla wa Kura dhidi ya Magufuli tena uko kanda ya Ziwa ndio usiseme kabisa!
Mimi naomba usije ukalimbia jukwaa!
Kamwe Lissu awezi mshinda Magufuli kwenye jimbo lolote wala mkoa wowote hapa Tanzania!
Najua sasa hivi utonielewa lakini tarehe 30 utanielewa! Kamwe Kamwe tena uko kanda ya Ziwa Lissu hatoweza kupanda ushindi hata ule unao mkaribia Magufuli hata chembe!
Naomba tuombe Mungu atuweke hai hadi tarehe 28 hakika tutaona na tutarudi hapa kusimuliana!
Bado mnahesabu mafuriko, hamjifunzi jambo!Nimetafakari na kujiuliza sana jambo hili , huyu mtu tuliyeaminishwa kwamba ni msaliti wa Taifa , akashambuliwa kinyama na kutelekezwa ili akafie mbali , kama haitoshi akavuliwa ubunge bila huruma na akatishwa asirudi nchini , bali pamoja na lundo la vitisho Lissu amerudi nyumbani kishujaa.
Cha ajabu ni kwamba kila anapopita kwenye kampeni zake za kuomba Urais watu wanajaa kupita kiasi , na cha kushangaza zaidi ni huko kanda ya ziwa ambako tuliaminishwa kwamba ni ngome ya watu wengine ndiko ilikovunjiwa rekodi ya umati kwenye mikutano yake , Katoro , Sengerema na Geita ni mifano hai ya hoja yangu
Swali langu ni hili , kwa umati huu unaojitokeza kwenye mikutano ya Lissu huko kanda ya ziwa ni kiashiria cha jambo gani ?
Hizi hapa ni picha za Geita , Mkoa unaosemekana alizaliwa Mgombea Urais wa CCM , jioneeni wenyewe .
You lost miserably during primary elections so pathetic ....kwanza sikujuwa wewe ni kada wakujifishia kwenye kichaka cha fake journalism.Mkuu nilikua na kuhesimu sana kabla ya kupate kura 1 tuu kwenye kura zamaoni kumbe hata maCCM hawakutaki kwenye mambo yako yakujipendekeza kinafki.Mkuu Ruttashobolwa , asante sana kwa kuwaeleza watu humu ukweli huu, japo watu humu watakubeza, lakini ukweli siku zote, una tabia moja, husimama mpaka mwisho.
Maadam tarehe 28 inakuja, tusiendelee kuandikia mate wakati wino upo!.
Ila pia kuna kitu umewasaidia hawa waota ndoto mchana bila wao kujijua, umewaokoa na kupata ugonjwa wa depression kutokana na too great expectations, kuwa mtu wao atashinda, hivyo ukweli kama huu unawasaidia kuwaandaa kisaikolojia kupokea kipigo cha mwaka, hivyo watakaposhindwa, wataishia kuumia tuu lakini hawata athirika kisaikolojia, na namna pekee ya kujifariji itakuwa ni kulia sana kwa kupiga makelele ili kuondoa machungu.
p
Unabishana sana kama sio kubalishana ufahamu, Unachotakiwa kufahamu ni kwamba CCM ni chama Tawala na ni chenyewe tuu ndio kitashindana na chenyewe. N a kama hakitovunjika hakuna siku chama kingine kinaweza kutawala nchi hii.Hiyo haitasaidia zaidi ya kumuongezea Lissu kura na umaarufu.
Kwa kanda ya ziwa Tundu lisu huenda akaambulia kura kwa mashemeji zake tu pale mkoa wa mara.hao wasukuma na wahaya usiwapigie mahesabu kabisa
You lost miserably during primary elections so pathetic ....kwanza sikujuwa wewe ni kada wakujifishia kwenye kichaka cha fake journalism.Mkuu nilikua na kuhesimu sana kabla ya kupate kura 1 tuu kwenye kura zamaoni kumbe hata maCCM hawakutaki kwenye mambo yako yakujipendekeza kinafki.
Take this, in a free and fair election environment hata kwa mzee Hashmu Rungwe Supunda Magufuli hawezi kufurukuta.Kwa safari hiyi ni nguvu ya umma tuu hakuna negotiation 28th Oct sio mbali wait.
Duhh nchi hii ni kubwa aisee yaani kuna mahali wanazuiwa kumsikiliza mgombea wa upinzani !!? Kwa kweli utawala wa aina hii ni wa kupigwa vitaLabda niandike nilichokificha ili uelewe vizuri uzi huu , kabla ya ujio wa Lissu watu wa Geita walikuwa wanatangaziwa kwa kisukuma kwamba Kuhudhuria mkutano wa Lissu ni Usaliti , ikiwa kama Magufuli anatakiwa kiasi unachokisema ilikuwaje jambo hili litangazwe kwa umma ? hata hivyo wananchi wamepuuza kinyama
The problem nyie maCCM u hate the truth ...mungeruhusu kuwe Opinion poll that pre-Election survey with credible research consultancy nawakika mungekata tamaa kushiriki uchaguzi mapema.Huwu uchanguzi nikati ya wakandamizi na wakandamizwaji, wauwaji na wapenda haki, watekaji na mateka,wabaya na wema n.k in that orderMjue uwezekano wa kushindwa upo ili depression kama ingeweza kutokea kwa kupata matokeo halisi, isije kutokea.
Nina wasi wasi matokeo ya uchaguzi huu, yatakuwa mabaya kwa upinzani kuliko wakati wowote ule tangu kuanzishwa kwa siasa za vyama vingi.
Natanguliza pole.