Uchaguzi 2020 Kitendo cha Tundu Lissu kukubalika Kanda ya Ziwa kwa kiwango hiki inaashiria nini?

Uchaguzi 2020 Kitendo cha Tundu Lissu kukubalika Kanda ya Ziwa kwa kiwango hiki inaashiria nini?

Mwambie Tundu kwenye mkutano ujao aje na cheti cha darasa la saba.. Najua hana.. Labda aende kufoji.
PhD ya mtukufu ilifanyikia wapi? Mwingulu Nchemba hilo ni jina lake? Anza na hao kwanza kabla ya kuendelea na mbinu zenu za kutengeneza mazingira ya kuendeleza propaganda za kishamba shamba
 
Hata wazawa wenzake hawataki kupitia tena mateso waliyopitia kwa miaka mingine mitano, mitano imetosha ndugu kapumzike tunashukuru kwa machozi yote uliyotuliza.
Watumishi wa umma miaka mitano bila nyongeza za mishahara wala kupandishwa madaraja
 
Ha ha ha wanatumia picha za lowassa
Acha kuvuta Bangi kisha kucheka kishamba shamba kama upo kijijini kolomije Tambua kuwa watanzania siyo wajinga wanajua propaganda za CCM zinapita sasa
 
Kapicha kameeditiwa weeee!

Chadema hata muhangaike vipi, Lisu haingii hata mara 10 kwenye mafuriko ya Slaa 2010 achilia mbali ya Liwasa 2015
Hizo ndoto za kizamani bakieni nazo nyinyi wasaka uteuzi huko huko chato lakini wenzenu wasiotaka uteuzi wanajua ukweli kuwa mtukufu hapati usingizi kwani awali mlimwaminisha kuwa anapendwa na watanzania lakini kumbe siyo.
 
Wananchi wamechoka na udhalimu wa serikali iliyopo madarakani kwa miaka zaidi ya 50
Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani pesa zote za viwanda zinatumika kudidimiza demokrasia kuwahujumu chadema kuua upinzani kuwabambikia kesi na uonevu wa kila aina badala ya maendeleo
 
Hiyo tarehe 28 tume itakuwa huru? Maana hata matokeo ya 2015 bado tume ilikuwa hiihii. Kwa tume hii na msajili wa vyama vya siasa waliyokuwa kimya Mrema na Cheyo wakimuunga mkono Magufuli, lakini kitendo cha ACT kusema tu watamuunga mkono Lisu wametoa povu la hatari, hapo unaweza kutamba mbele ya wanaume kuwa wangoje tarehe 28 October?
Msajiliccm anaihujumu chadema na ACT lakini ni rafiki kipenzi wa CUF ya lipumba na vyama CCM B vyama vya upinzani kivuli Tawi la ccm, Msajiliccm hana Aibu haogopi mungu yupo tayari kujitoa fahamu kufanya chochote yaafaa awekwe kwenye list ya wachunguzi wa ICC
 
Ni dalili mbaya sana. Haijawahi kutokea kwenye kampeni yo yote nchini kwetu mgombea urais kuzomewa kiasi hicho. Jana Mbowe naye kazomewa sana jimboni kwake Hai lakini picha za kubumba zikaonesha mafuriko! Yaani mwaka huu CDM ndiyo basi!
DC wa hai kanunua wahuni akawapa vicent kwenda kufanya fujo kwenye mkutano wa mbowe, wenye Akili timamu wanajua ile ni hujuma za CCM lakini wajinga wanajua walizomea kweli toka moyoni
 
Sera ya majimbo kama watu wamgejua wangeikubali. Nchi zote zenye maendeleo ya watu wana sera za majimbo. Huwezi kuendelea kwa kusubiri mawazo na maamuzi ya mtu moja katika nchi kubwa kama Tanzania.
Kutakuwa na sheria na miradi/huduma za pamoja kwa nchi nzima ila maamuzi yanayohusu mambo ya kila kijiji yatatokana na maamuzi ya watu wakifuata malengo ya taifa! Fedha zikikusanywa hakutakuwa na ucheleweshaji wa maamuzi!
Tukubali kujaribu tuone maajabu!
China America German UK India Canada na mataifa yote tajiri ikiwemo South Africa hutumia mfumo wa majimbo huko hawana vyeo vya wakuu wa mikoa RC hawataki mfumo wa kizamani unaotumika Tanzania kukandamiza demokrasia kuwabambikia kesi wapinzani kirahisi
 
Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani,kama siyo CCM mda huu Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko South Africa China China canada America German Korea Uk Oman na mataifa yote tajiri Duniani na ingekuwa kwenye G5 na kumiliki kura ya veto, chini ya CCM Tanzania inazidi kudidimia kimaendeleo na kuendekeza tumaendeleo twa kifisadi tunakofanywa na wajanja wachache wapenda 10% huko CCM.
 
Hakuna kitu kibaya Duniani kwa sasa kama ushetani mpya wa CCM wa kupita bila kupingwa, kupita bila kupingwa kwa njia haramu huzaa wabunge wagonga meza kusema kwa kusema ndiyoo kwa kila kitu pasipo kutafakari kwanza
 
Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani,kama siyo CCM mda huu Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko South Africa China China canada America German Korea Uk Oman na mataifa yote tajiri Duniani na ingekuwa kwenye G5 na kumiliki kura ya veto, chini ya CCM Tanzania inazidi kudidimia kimaendeleo na kuendekeza tumaendeleo twa kifisadi tunakofanywa na wajanja wachache wapenda 10% huko CCM.
Jina lako na akili zako vinaendana kabisa. Sijawahi kuona Minyoo yenye akili
 
Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani pesa zote za viwanda zinatumika kudidimiza demokrasia kuwahujumu chadema kuua upinzani kuwabambikia kesi na uonevu wa kila aina badala ya maendeleo
Maendeleo gani unayoyaongelea wewe, maana sisi wengine tunayaona. Lakini Minyoo huwa haina macho wala masikio, kwahiyo sishangai wwe kutoona maendeleo yoyote. Chama chenu kina zaidi ya miaka 20 hakina jengo la maana la makao Mkuu na ruzuku wanapata kila mwisho wa Mwezi, hili nalo hulioni.
 
Nimetafakari na kujiuliza sana jambo hili , huyu mtu tuliyeaminishwa kwamba ni msaliti wa Taifa , akashambuliwa kinyama na kutelekezwa ili akafie mbali , kama haitoshi akavuliwa ubunge bila huruma na akatishwa asirudi nchini , bali pamoja na lundo la vitisho Lissu amerudi nyumbani kishujaa.

Cha ajabu ni kwamba kila anapopita kwenye kampeni zake za kuomba Urais watu wanajaa kupita kiasi , na cha kushangaza zaidi ni huko kanda ya ziwa ambako tuliaminishwa kwamba ni ngome ya watu wengine ndiko ilikovunjiwa rekodi ya umati kwenye mikutano yake , Katoro , Sengerema na Geita ni mifano hai ya hoja yangu

Swali langu ni hili , kwa umati huu unaojitokeza kwenye mikutano ya Lissu huko kanda ya ziwa ni kiashiria cha jambo gani ?

Hizi hapa ni picha za Geita , Mkoa unaosemekana alizaliwa Mgombea Urais wa CCM , jioneeni wenyewe .

Kiashiria cha " NI YEYE 2020."
 
Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani,kama siyo CCM mda huu Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko South Africa China China canada America German Korea Uk Oman na mataifa yote tajiri Duniani na ingekuwa kwenye G5 na kumiliki kura ya veto, chini ya CCM Tanzania inazidi kudidimia kimaendeleo na kuendekeza tumaendeleo twa kifisadi tunakofanywa na wajanja wachache wapenda 10% huko CCM.
Hivi zambia, kenya, malawi nchi zilizo badili vyama vikongwe mbona bado vina andamwa na umasikini uliokithiri - kwa akili yako unafikiri tatizo ni ccm!? - tatizo la Africa ni watu mnaofikiria kama nyie ambao hata hatua za maendeleo hamzijui mnaolala mkiota mnakula mkate wenye siagi wakati hamjui hata ngano inapatikanaje na siagi imepatikanaje.
 
Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani pesa zote za viwanda zinatumika kudidimiza demokrasia kuwahujumu chadema kuua upinzani kuwabambikia kesi na uonevu wa kila aina badala ya maendeleo
Halafu bado mgombea wao anajimwambafy eti mkichagua upinzani hamtapata maendeleo, wakati wao wamekaa na nchi miaka zaidi ya hamsini hamna walichofanya, kazi yao ni kushughulika na mambo ambayo hayana tija kwa wananchi huku wananchi wengi wakiteseka kwa hali ngumu
 
Back
Top Bottom