Uchaguzi 2020 Kitendo cha Tundu Lissu kukubalika Kanda ya Ziwa kwa kiwango hiki inaashiria nini?

Uchaguzi 2020 Kitendo cha Tundu Lissu kukubalika Kanda ya Ziwa kwa kiwango hiki inaashiria nini?

Mbele ya Magufuli haiwezikutokea Lissu akashinda kuwa Rais wa nchi hii hata mwenyekiti wa tume ya uchaguzi awe Edwin Mtei na mkurugenzi wa tume awe Allute Mughwai Lissu
 
Kila siku siyo jumapili

Nakunong'oneza tuu, Jumatano iliyo pita CCM Simiyu wamekodi Chopa mbili kuhakikisha kura ya Magufuli haipotei. Unafikiri kitu gani kinaendelea ?

Uchaguzi uliopita CCM ilipindua boti la Upinzani kanda ya ziwa siku ishirini na moja kabla ya uchaguzi.

Kutokuwa na matayarisho ya kutosha yakiambatana na nyenzo za ushindi/pesa/poster/fliers/wawakilishi wazuri kila tarafa/usimamizi mzuri wa financial and human resources unaisumbua sana Chadema kwa uchaguzi huu.
 
Hizo chopa zitarudisha nyavu na boti zilizochomwa na serikali huko kanda ya ziwa ? au zitafufua wavuvi kwa mamia waliouawa kwa kisingizio cha uvuvi haramu ? au unadhani watu wa kanda hiyo ni wajinga kiasi hicho ?
 
Mbele ya Magufuli haiwezikutokea Lissu akashinda kuwa Rais wa nchi hii hata mwenyekiti wa tume ya uchaguzi awe Edwin Mtei na mkurugenzi wa tume awe Allute Mughwai Lissu
Kumchagua wewe na wazazi wako kutokana na Maslahi mnayopata kwa gharama ya damu za watu hakumaanishi kila mtu atamchagua , jiandae kiakili
 
Kumchagua wewe na wazazi wako kutokana na Maslahi mnayopata kwa gharama ya damu za watu hakumaanishi kila mtu atamchagua , jiandae kiakili
nadhani wewe n wenzako ndo mnapaswa kujiandaa mnoo maana kishindo kinachokuja baada ya tarehe 28 oktoba hamtaamini
 
Kwanini unauliza maswali ya kijinga

Kwani jpm alipokua anavunja mitumbwi yao hukuona?
 
HUJUI MUMILIKI WA HAKA KAENEO? HII VIDEO IMESHA SAMBAA KILA KONA. WATANZWNIA TUNATAKA UHURU WETU. HATUKO TAYARI KUUZA TAIFA KWA MABEBERUU TENAA
Tangu Tanzania ipate uhuru mji wa buseresere haujawahi kupata maji safi na salama. Mji huu uko wilaya ya Chato alikozaliwa Magufuli na aliongoza jimbo hilo kama mbunge na waziri kwa miaka 15 ndani ya CCM.sasa watanzania ninawashauri msimpe tena huyu mtu utumishi kwa kipindi kingine .
 
Ulishawahi kufika Ikungi na kuona umasikini uliotopea wa elimu ,afya na kila kitu?

Na hilo jimbo mbunge wao alikuwa Lisu
 
Back
Top Bottom