johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Msafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.
Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.
Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa kuanza kampeni mapema?
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Hahahaaaa...... Umeshapanic!Hilo sofa unalosugua hapo kwa shemeji linakudumaza sana. Muulize shemeji yako anavyotafuta kwa shida
Nikwambie Mara ngapi kwamba wewe siyo wa kuandika thread za ovyo kiasi hiki?Msafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.
Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.
Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa kuanza kampeni mapema?
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Mgojwa alisalimiwaMsafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.
Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.
Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa kuanza kampeni mapema?
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Alikuwa hajachukua fomu kwa Jaji Kaijage!kuna mgombea mmoja hivi akiwa huko mabarabarani aligawa 5M, akakata laki 1 na akatoa ahadi ya 100M. ni nani huyo tena?
kama umesahau basi acha tu... tutamuuliza Lissu maana jamaa kwa kuweka rikodi hajambo!
uteuzi wa chama unatambuliwa kisheria kama sehemu ya mchakato. kamuulize nguli wa sheria Lissu atakupa shule!Alikuwa hajachukua fomu kwa Jaji Kaijage!
Hahahaaaa....... basi sawa!Mgojwa alisalimiwa
Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.
Aliyewasukumia barabarani ni nani ?Msafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.
Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.
Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa kuanza kampeni mapema?
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Asante sana mkuu kwa kuliona hilo,Hilo sofa unalosugua hapo kwa shemeji linakudumaza sana. Muulize shemeji yako anavyotafuta kwa shida
Kwani mzee mgaya a anesemaje?Msafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.
Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.
Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa kuanza kampeni mapema?
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Tatizo la kula na kulala bure kwa shemeji yako diwani wa ccm ndiyo kunaifanya akili zako kudumaaMsafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.
Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.
Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa kuanza kampeni mapema?
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Bwashee kuuliza si ujinga!Nikwambie Mara ngapi kwamba wewe siyo wa kuandika thread za ovyo kiasi hiki?
Yaani kusimama na kuwaambia watu; hamjambo?
Hatujambo!
Na Mimi mliyejua nimekufa sijambo.
Hizo tayari ni kampeni kuliko anayetoa milioni 100 akiwa ameshachukua fomu ya kugombea?
Ni kampeni kuliko yule aliyetoa "mama yake" kwa mwanaume mwingine asiye baba yake?
Hilo swali ni gumu sana ulilo muuliza maana uwezo wake ni kwenye kusifu na kuabudukuna mgombea mmoja hivi akiwa huko mabarabarani aligawa 5M, akakata laki 1 na akatoa ahadi ya 100M. hivi ni nani huyo tena?
kama umesahau basi acha tu... tutamuuliza Lissu maana jamaa kwa kuweka rikodi hajambo!