Uchaguzi 2020 Kitendo cha Tundu Lissu kusimama barabarani kusalimia wananchi akiwa njiani kwenda Shinyanga siyo kampeni za mapema?

Uchaguzi 2020 Kitendo cha Tundu Lissu kusimama barabarani kusalimia wananchi akiwa njiani kwenda Shinyanga siyo kampeni za mapema?

Povu kedekede
Huyu mgombea ni MCHOKOZI anataka kuwachokoza Polisi wamshughulikie. Anafanya hivyo kwa kisingizio kuwa "mbona Rais Magufuli anafanaya hivyo?". Huyu ni mchokozi na katumwa na vibaraka wake ili kutaka kuharibu KUSHINDWA KWAKE kwenye uchaguzi ujao. Tunamwambia yeye akijua hivi wengine wanajua vile. Halafu hiyo mikataba aliyoingia na hao mabeberu ya kuwapa madini na utajiri wa nchi hii akipata urais ASAHAU, atajua mwenyewe namna atakavyo walipa hizo pesa walizompa kwa ajili ya kampeni na uchaguzi mkuu 2020.
 
Msafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.

Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.

Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa kuanza kampeni mapema?

2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!

Uchaguzi 2020 - Singida, Iramba: Mamia ya wananchi wa Shelui, wamemzuia barabarani Mgombea wa Chadema Tundu Lissu ili awasalimie
Kumbe kitendo cha kusalimia watu barabarani ni kampeni? Aiseeeeeee bc Kuna mtu kafanya hvyo kwa miaka mitano mfurulizo na huku akigawa pesa na kumgawa mama yake mzazi kwa aliyemzawadia jogoo
 
Unaweza tofautisha kampeni na mikutano ya kawaida ya siasa?
Wacha kujaza watu kwenye mikutano ya aina yoyote, hata kubebwa kama alivyobebwa Mrema Enzi zile na ruhusa ikatolewa abebwe kwani hata maiti inabebwa ndani ya jeneza! Nini mafuriko tuliona gharika LAKINI WAPI!?
 
CCM sass wajue kuwa wamechokwa kila kona ya nchi
Kipimo cha hiyo ni nini? Umati wa watu au nini? Nadhani hukuuona umati au mafuriko ya watu Enzi zile za Lowassa za 2015, nadhani unajisahaulisha au hukuwepo jijini? Na matokeo si uliyasikia?
 
Back
Top Bottom