Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂 Daaah tumbooo tumbooo"Mji wote umesukumizwa barabarani" aisee hiki ni kichekesho cha karne.
Msafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.
Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.
Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa kuanza kampeni mapema?
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Uchaguzi 2020 - Singida, Iramba: Mamia ya wananchi wa Shelui, wamemzuia barabarani Mgombea wa Chadema Tundu Lissu ili awasalimie
iMsafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.
Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.
Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa kuanza kampeni mapema?
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Uchaguzi 2020 - Singida, Iramba: Mamia ya wananchi wa Shelui, wamemzuia barabarani Mgombea wa Chadema Tundu Lissu ili awasalimie
Hii nilipitwa mkuu,mwenye kavidio au kapicha tafadhali sana,wakina Thomaso tunawaomba.Kuna mmoja nilimuona akiuziwa mahindi na jamaa mwenye mguu wa kuku kiunon, then akatoa kilo kununua jogoo, mi sijui ata.
Kwani kusalimia ni kampeni? Mbona hatushangai mgombea wetu anaposimama kupokea mahindi ya kuchoma na kupokea kuku walioletwa toka Dar, huku tukiambiwa ni wananchi wenye mapenzi makuu kwa mgombea wetu?Msafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.
Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.
Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa kuanza kampeni mapema?
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Uchaguzi 2020 - Singida, Iramba: Mamia ya wananchi wa Shelui, wamemzuia barabarani Mgombea wa Chadema Tundu Lissu ili awasalimie
JPM na CCM yake wametangulia 5 years,lakini mbona mnapata kihoro?Mkuu Lissu hata akitangulia miezi miwili, harafu Jpm akaja nyuma Bado Jpm atashinda kwa kishindo.
NEC afadhali waache tu kila mmoja afanye yake. Wakisema wafuate kanuni za uchaguzi, Magufyli itabidi aondolewe kwa kuanza kampeni mapema na kugawa rushwa.Bwashee kuuliza si ujinga!
Tumeambiwa wagombea wenye sifa pekee ndio watateuliwa.
Msafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.
Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.
Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa kuanza kampeni mapema?
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Uchaguzi 2020 - Singida, Iramba: Mamia ya wananchi wa Shelui, wamemzuia barabarani Mgombea wa Chadema Tundu Lissu ili awasalimie
Bwashee msema kweli husimama katikati bila kuegemea upande!ID ya johnthebaptist ziko ngapi maana moja iko pro Lissu na nyingine ipo pro Magufuli mfano hii naiona iko pro lisu maana inauliza swali linalimpa lisu credit za waaaaaziii maana yule mungu huwa kusimama ndio zake hata asiposimamishwa.
Hahahaaaa......!Acha Wenge Mkuu.
Inatakiwa aletewe na jogoo kabisa kisha aseme jogoo hoyee. Na kama mama yake yupo ampe huyo atakayemleta huyo jogoo.
Watu wanajitokeza kwa wingi kushuhudia muujiza, matendo makuu ya Mungu.
Sasa kama anataka wadamini atakutana nao wapi bila kusimama?Msafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.
Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.
Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa kuanza kampeni mapema?
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Uchaguzi 2020 - Singida, Iramba: Mamia ya wananchi wa Shelui, wamemzuia barabarani Mgombea wa Chadema Tundu Lissu ili awasalimie
Kwa Tume hii ya uchaguzi ambayo imewekwa MFUKONI na Rais, tutarajie viroja vingi sana.Msafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.
Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.
Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa kuanza kampeni mapema?
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Uchaguzi 2020 - Singida, Iramba: Mamia ya wananchi wa Shelui, wamemzuia barabarani Mgombea wa Chadema Tundu Lissu ili awasalimie
Wewe ulitakaje?
Asisalimie watu?
Acheni wivu.
Lissu anapendwa na watu.
Jana Membe na Maalim Seif wameisimamisha Zanzibar na mji nzima ulikuwa barabara kuwasalimia, hukuja hapa kusema hayo.