Uchaguzi 2020 Kitendo cha Tundu Lissu kusimama barabarani kusalimia wananchi akiwa njiani kwenda Shinyanga siyo kampeni za mapema?

wakimkata kisa kasimama barabarani magu nae akatwe alisimama pia so ngoma drooo.. asee lissu brain sema waafrica sisi ni wajinga brain tunazipiga vita tunakumbatia vilaza...
 
Msafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.

Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.

Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa kuanza kampeni mapema?

2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!

Uchaguzi 2020 - Singida, Iramba: Mamia ya wananchi wa Shelui, wamemzuia barabarani Mgombea wa Chadema Tundu Lissu ili awasalimie

Kwani Magufuli kusimama njiani na kununua mahindi na jogoo, na wakati mwingine kutusi na kudhalilisha wanawake njiani hazikuwa kampeni za mapema?

Mmeambiwa mkijaribu njia ya mapingamizi TL ndiyo kwao.

#MugufuliMustGo!
 
Tafsiri rahisi ya neno kampuni ni kufanya ushawishi kwa kujenga hoja ili watu wakuchague au waridhie jambo fulani.

sasa kusimama barabarani ni kufanya kampeni, na je aliposimama alifanya tukio gani la kuashiria anfanya kampeni?

Msafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.

Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.

Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa kuanza kampeni mapema?

2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!

Uchaguzi 2020 - Singida, Iramba: Mamia ya wananchi wa Shelui, wamemzuia barabarani Mgombea wa Chadema Tundu Lissu ili awasalimie
i
 
ID ya johnthebaptist ziko ngapi maana moja iko pro Lissu na nyingine ipo pro Magufuli mfano hii naiona iko pro lisu maana inauliza swali linalimpa lisu credit za waaaaaziii maana yule mungu huwa kusimama ndio zake hata asiposimamishwa.
 
Kwani kusalimia ni kampeni? Mbona hatushangai mgombea wetu anaposimama kupokea mahindi ya kuchoma na kupokea kuku walioletwa toka Dar, huku tukiambiwa ni wananchi wenye mapenzi makuu kwa mgombea wetu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliwahi muuliza mwenyekiti wenu jiwe kitendo cha kunadi anayoyaita mafanikio ya awamu ya tano kila anapokuwa hata kwenye msiba kama ni kampeni za mapema ama za katikati ya mapema na mwisho? Tumia kichwa walau mara moja kwa week kufikiri itakusaidia!
 
Msafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.

Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.

Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa kuanza kampeni mapema?

2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!

Uchaguzi 2020 - Singida, Iramba: Mamia ya wananchi wa Shelui, wamemzuia barabarani Mgombea wa Chadema Tundu Lissu ili awasalimie

Acha Wenge Mkuu.
 
ID ya johnthebaptist ziko ngapi maana moja iko pro Lissu na nyingine ipo pro Magufuli mfano hii naiona iko pro lisu maana inauliza swali linalimpa lisu credit za waaaaaziii maana yule mungu huwa kusimama ndio zake hata asiposimamishwa.
Bwashee msema kweli husimama katikati bila kuegemea upande!
 
Wanaodai chadema inajulikana mjini tu mav...i lzm yapige ch...pi na kurudi maana TL kaingia na uko vijijin sasa
Watu wanajitokeza kwa wingi kushuhudia muujiza, matendo makuu ya Mungu.
 
Msafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.

Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.

Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa kuanza kampeni mapema?

2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!

Uchaguzi 2020 - Singida, Iramba: Mamia ya wananchi wa Shelui, wamemzuia barabarani Mgombea wa Chadema Tundu Lissu ili awasalimie
Sasa kama anataka wadamini atakutana nao wapi bila kusimama?
Wa pande wa pili akisimama barabarani na kusalimiana na watu, pia kusema watu wasichague wapinzani, anatoa rushwa kwa kauli - anasaidia na kutoa zawadi, hilo alionekani kama kampeni za mapema, mhhhhh!!!!!!!
 
Msafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.

Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.

Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa kuanza kampeni mapema?

2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!

Uchaguzi 2020 - Singida, Iramba: Mamia ya wananchi wa Shelui, wamemzuia barabarani Mgombea wa Chadema Tundu Lissu ili awasalimie
Kwa Tume hii ya uchaguzi ambayo imewekwa MFUKONI na Rais, tutarajie viroja vingi sana.
 
CCM sass wajue kuwa wamechokwa kila kona ya nchi
Wewe ulitakaje?
Asisalimie watu?
Acheni wivu.
Lissu anapendwa na watu.

Jana Membe na Maalim Seif wameisimamisha Zanzibar na mji nzima ulikuwa barabara kuwasalimia, hukuja hapa kusema hayo.
 
Back
Top Bottom