ORCA ACE
JF-Expert Member
- Jan 18, 2020
- 1,449
- 1,708
Povu kedekede
Huyu mgombea ni MCHOKOZI anataka kuwachokoza Polisi wamshughulikie. Anafanya hivyo kwa kisingizio kuwa "mbona Rais Magufuli anafanaya hivyo?". Huyu ni mchokozi na katumwa na vibaraka wake ili kutaka kuharibu KUSHINDWA KWAKE kwenye uchaguzi ujao. Tunamwambia yeye akijua hivi wengine wanajua vile. Halafu hiyo mikataba aliyoingia na hao mabeberu ya kuwapa madini na utajiri wa nchi hii akipata urais ASAHAU, atajua mwenyewe namna atakavyo walipa hizo pesa walizompa kwa ajili ya kampeni na uchaguzi mkuu 2020.