Uchaguzi 2020 Kitendo cha Tundu Lissu kusimama barabarani kusalimia wananchi akiwa njiani kwenda Shinyanga siyo kampeni za mapema?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Msafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.

Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.

Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa kuanza kampeni mapema?

2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!

"Mji wote umesukumizwa barabarani" aisee hiki ni kichekesho cha karne.
 
Msafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.

Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.

Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa kuanza kampeni mapema?

2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Nikwambie Mara ngapi kwamba wewe siyo wa kuandika thread za ovyo kiasi hiki?
Yaani kusimama na kuwaambia watu; hamjambo?
Hatujambo!
Na Mimi mliyejua nimekufa sijambo.
Hizo tayari ni kampeni kuliko anayetoa milioni 100 akiwa ameshachukua fomu ya kugombea?
Ni kampeni kuliko yule aliyetoa "mama yake" kwa mwanaume mwingine asiye baba yake?
 
Mgojwa alisalimiwa
 
kuna mgombea mmoja hivi akiwa huko mabarabarani aligawa 5M, akakata laki 1 na akatoa ahadi ya 100M. ni nani huyo tena?

kama umesahau basi acha tu... tutamuuliza Lissu maana jamaa kwa kuweka rikodi hajambo!
Alikuwa hajachukua fomu kwa Jaji Kaijage!
 
Msafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.

Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.

Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa kuanza kampeni mapema?

2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Aliyewasukumia barabarani ni nani ?
 
Msafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.

Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.

Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa kuanza kampeni mapema?

2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Kwani mzee mgaya a anesemaje?
 
Tatizo la kula na kulala bure kwa shemeji yako diwani wa ccm ndiyo kunaifanya akili zako kudumaa
 
Nikwambie Mara ngapi kwamba wewe siyo wa kuandika thread za ovyo kiasi hiki?
Yaani kusimama na kuwaambia watu; hamjambo?
Hatujambo!
Na Mimi mliyejua nimekufa sijambo.
Hizo tayari ni kampeni kuliko anayetoa milioni 100 akiwa ameshachukua fomu ya kugombea?
Ni kampeni kuliko yule aliyetoa "mama yake" kwa mwanaume mwingine asiye baba yake?
Bwashee kuuliza si ujinga!

Tumeambiwa wagombea wenye sifa pekee ndio watateuliwa.
 
Back
Top Bottom