Uchaguzi 2020 Kitendo cha Tundu Lissu kusimama barabarani kusalimia wananchi akiwa njiani kwenda Shinyanga siyo kampeni za mapema?


Hakuna siyo kosa wala uvunjifu wa kanuni na sheria ya uchaguzi...

Kumbuka yuko safarini ktk mikoa 10 ya Tanzania nzima kutafuta saini za wadhamini ili wampe uhalali wa kisheria kuwa mgombea Urais wa JMT...

Wadhamini unaweza kukutana nao popote hata njiani kama afanyavyo sasa ili mradi Wawe wakaazi wa mkoa husika......
 
Nimekuelewa vizuri sana bwashee!
 
Yule aliyesimama Kibaigwa kula mahindi ya kuchoma! Tulia christapen ikuingie taratibu.
 
Mkuu Lissu hata akitangulia miezi miwili, harafu Jpm akaja nyuma Bado Jpm atashinda kwa kishindo.
 
Huyu jamaa nahisi ni mtumiaji ugoro wa kimasai akili yake inamtambulisha.
Alikuwa anagawa na rushwa? Waliosukumizwa hawajaumia? Jeshi la polisi linasemaje? Jo unazidi kuwa mjinga kadiri siku zinavyosogea

Jr[emoji769]
 
Huyu mgombea ni MCHOKOZI anataka kuwachokoza Polisi wamshughulikie. Anafanya hivyo kwa kisingizio kuwa "mbona Rais Magufuli anafanaya hivyo?". Huyu ni mchokozi na katumwa na vibaraka wake ili kutaka kuharibu KUSHINDWA KWAKE kwenye uchaguzi ujao. Tunamwambia yeye akijua hivi wengine wanajua vile. Halafu hiyo mikataba aliyoingia na hao mabeberu ya kuwapa madini na utajiri wa nchi hii akipata urais ASAHAU, atajua mwenyewe namna atakavyo walipa hizo pesa walizompa kwa ajili ya kampeni na uchaguzi mkuu 2020.
 
Mbona yule anasimama ananunua kuku laki ..na maburungutu ya pesa zinagaiwa tu
 
Msafara ukizuiwa unapaa angani? Halafu umemsahau mgombea wenu alipotoka kuchukua fomu anaye msafara sijua ulisimamishwa au alifanya kampeni?
 

Unajisikiaje kuandika kitu kama ulikuwa belgij
 
Mwanawane tulia hivyo hivyo dawa ikuingie sawasawa au unataka kupanuliwa wapi? Ulitaka apitilize bila kuwasalimia wananchi? Na hapa Shinyanga kumefurika, kesho asubuhi wananchi kama wote watakuwa hawaendi kazini!
 
Mwacheni lissu asimame popote tu
Lowassa alitisha sana.lowassa alikua akijaza viwanja vya mpira,hiyo ni kuandikisha wadhamini tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…