mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Mi naona BAVICHA ndio wanafeli.. harafu siku hizi hawana mvuto kabisa. Tamko kama hili linatolewa wao wanakwama vipi kuwajibu wakiwa na mafimbo na marungu mbele ya kamera??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi naona BAVICHA ndio wanafeli.. harafu siku hizi hawana mvuto kabisa. Tamko kama hili linatolewa wao wanakwama vipi kuwajibu wakiwa na mafimbo na marungu mbele ya kamera??
Si hao BAVICHA wana nguvu ya umma?Naona bado ujaelewa !. Anaye wapa nguvu uvccm ni RC,DC,RPC,IGP,CID,msajili wa vyama.wote ulitakiwa wakupe msaada ila ndio msaada wa uvccm.
Hivi na wewe umemjibu huyo popoma kweli???Watu binafsi? ni viongozi wa Uvccm mbona wametaja kabisa na vyeo vyao na majina yao na sura zao.
I miss Red Brigade.Ni UVCCM kwasababu walishatoa vitisho. Tutadili nao
Tusifikiri vikundi vya waasi vinatokeaga hewani ni kulea vikundi kama hivi ndani ya vyama vilivyosajiliwa kihalali.[emoji419][emoji375]Sielewi kwa nini hadi sasa jeshi la polisi halijachukua hatua zozote zile kuhusiana na kitendo cha kiharifu cha wale Vijana, sijui ni kwanini Msajili wa Vyama vya Siasa hajakemea, na sijui ni kwa nini Viongozi wa Dini hawajajitokeza kukemea.
Wako wapi wanaojiita viongozi wa vyama walinda amani kina Cheyo, wako kimya.
Imagine tamko hili lingekuwa limetolewa na BAVICHA saa hii Msajili wa Vyama angekuwa amewaandikia CHADEMA wajieleze kwa nini Bavicha isifutwe.
Tunajenga jamii ya kibaguzi inayohukumu vitendo vya kiharifu kwa kuangalia itikadi, hali hii isipokemewa inaweza kuleta mpasuko mkubwa siku za usoni, na watakao sababisha sio vijana bali ni viongozi na wazee wanaofumbia macho, na pindi wanapokemea wanakemea kwa kuangalia nani kasema.
Tusifikiri vikundi vya waasi vinatokeaga hewani ni kulea vikundi kama hivi ndani ya vyama vilivyosajiliwa kihalali.
Pia soma: UVCCM Chato: Hatutaruhusu kuona hata hatua moja ya Tundu Lissu ikikanyaga Chato. Tupo tayari kwa lolote