Kitendo cha Uhuni cha UVCCM Chato kinapaswa kulaaniwa na watu wote wanaoitakia mema nchi yetu

Mi naona BAVICHA ndio wanafeli.. harafu siku hizi hawana mvuto kabisa. Tamko kama hili linatolewa wao wanakwama vipi kuwajibu wakiwa na mafimbo na marungu mbele ya kamera??
 
Mi naona BAVICHA ndio wanafeli.. harafu siku hizi hawana mvuto kabisa. Tamko kama hili linatolewa wao wanakwama vipi kuwajibu wakiwa na mafimbo na marungu mbele ya kamera??

Naona bado ujaelewa !. Anaye wapa nguvu uvccm ni RC,DC,RPC,IGP,CID,msajili wa vyama.wote ulitakiwa wakupe msaada ila ndio msaada wa uvccm.
 
Tips kutoka Twita;;

“Aliyehusika kupanga njama ni DC wa chato (Deusdedith Katwale) ambae ni mzaliwa wa hapa chato kijiji cha Katende, Kata ya Katende.

Aliwatuma mwenyekiti wa kijiji cha Katende, Kata ya Katende kwao na DC, na M/kiti wa UVCCM kata ya Katende ambao wote ni watu wa kijiji chake.

Lakini pia aliyekuwa mshauri wa Mgambo wilaya ya Chato (amestaafu).

Usitaje jina langu”.
 
Tusifikiri vikundi vya waasi vinatokeaga hewani ni kulea vikundi kama hivi ndani ya vyama vilivyosajiliwa kihalali.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…