Kitendo cha viongozi wa CHADEMA kupuuza kushiriki kongamano la dini ni aibu na fedheha kwa chama chao

Bado mnaangaika na mfu? Ndiyo mkome kuabudu watu.
 
Yaani humu jukwaani Kuna watu wanaakili za kushikiliwa, kwa mabaya yote Magufuli aliyowafanyia wapinzani bado wajipendekeze kwa lipi
Acha hayo mjinga yasumbuke na Mfu Magufuli. Hayajawai hata kumshukuru Mungu kwa ajili ya wazazi wao. Haya mateso wanayopata ndiyo iwe Fundisho kwa waabudu watu.
 
Tumeshaandika barua ya kuomba mchakato wa St Magufuli...[emoji16]
Acha UPUMBAVU wewe, Chadema haiwezi kushiriki kwenye jambo lolote lile linalomhusu MFITINI wao. Mwendazake alikuwa dikteta, hakuna namna ya kuweza kuhalalisha hiyo HARAMU.
 
 
Kumshukuru Mungu kwa maisha ya Dikteta? What a joke? Kwamba Mungu alimuumba Magufuli na kumuamuru awe muuaji na bado waliouliwa ndugu zao watoke kushukuru?
 
Acha upumbavu wewe mbona akili yako imejas makamasi kwenye msiba walihudhuria wakiongozwa na Katibu Mkuu J.J.Mnyika lakini kama ilivyokawaida ya ccm msiba waliubinafsisha kutoka kuwa msiba wa taifa ukawa msiba wa chama hawakuwapa nafasi ya kutoa neno.

Kwenye Kongamano, una uhakika walialikwa?
 
Kwahiyo hao walihudhuria walimfufua au kumfanya aingie mbinguni kwa Mungu ? Kuweni na adabu mnapotaka kuandika
 
[emoji16][emoji16]
Mlimnukuu vibaya...
President hawezi kuua hata inzi...
Ni wasaidizi wake wanaweza kufanya mambo ya ovyo kama hayo..

St Magufuli... the 1st mtakatifu toka Tanzania...
Tutaupinga kwa maandamano yasiyo na kikomo, mikono ya Mwendazake imesheheni damu za maelfu wasio na hatia. HATUTAKUBALI ASILANI.
 
[emoji16][emoji16]
Mlimnukuu vibaya...
President hawezi kuua hata inzi...
Ni wasaidiI wake wanaweza kufanya mambo ya ovyo kama hayo..

St Magufuli... the 1st mtakatifu toka Tanzania...
Acheni kuufananisha (Utakatifu) na vitu vya ajabu ajabu.
 
Acha hayo mjinga yasumbuke na Mfu Magufuli. Hayajawai hata kumshukuru Mungu kwa ajili ya wazazi wao. Haya mateso wanayopata ndiyo iwe Fundisho kwa waabudu watu.
Labda walitaka ‘nyomi’ kama la kwenye mazishi, watu wakanyagane, wanywe tena damu za watu!
 
Mbowe alishamaliza kuongea kuhusu mwenda zake.....
 
Mada ya kungamano haina afya kwa taifa letu. Ukiangalia sehemu kubwa ya viongozi wa dini waliohudhuria ni wale praise team
 
Hebu tuwekee huo mualiko kwa Viongozi wa Chadema. Kama huna huo mualiko basi UMEKURUPUKA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…