Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Kulingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano yenye kutoa muongozo wa kidemokrasia lengo ni kutufanya wananchi kuweza kushiriki katika maamuzi yetu kupitia chaguzi zetu, lakini kwa bahati mbaya kuna mkusanyiko wa matukio ya kususia uchaguzi ambao unafanywa na vyama pinzani mfano CHADEMA katika nyakati hizi, ambapo kunasababisha kuleta sintonfahamu na vurugu kwa baadhi ya maeneo pamoja na kuwakosesha wananchi haki zao.
Je, suluhisho ni kuanzisha utaratibu wa mabadiliko ya katiba ili kuruhusu private candidate wenye kukuza demokrasia, pia kuondosha migogoro na uhasama kwa wananchi?
NAWASILISHA
Je, suluhisho ni kuanzisha utaratibu wa mabadiliko ya katiba ili kuruhusu private candidate wenye kukuza demokrasia, pia kuondosha migogoro na uhasama kwa wananchi?
NAWASILISHA