satellite
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 616
- 170
Leo wachezaji wa yanga Mwasika,Nurdin na kanavaro wameonesha jinsi gani hata masumbwi wanayajua pale walipoamua kumpiga refa wakigomea kadi nyekundu,hii inadhihisha jinsi gani wachezaji wetu wanaingia uwanjani huku wametumia ile kitu inayoitwa "bangi",kama waliona wameonewa si wangefuata sheria za soka?kumdhalilisha refa kiasi kile tena kwenye kadamnasi ya wa wapenda soka ni aibu kubwa sana,naomba TFF ichue adhabu kali sana ili iwe fundisho kwa wengine
