Kitendo cha wachezaji wa yanga kumpiga refa hakikubaliki

Kitendo cha wachezaji wa yanga kumpiga refa hakikubaliki

satellite

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
616
Reaction score
170
Leo wachezaji wa yanga Mwasika,Nurdin na kanavaro wameonesha jinsi gani hata masumbwi wanayajua pale walipoamua kumpiga refa wakigomea kadi nyekundu,hii inadhihisha jinsi gani wachezaji wetu wanaingia uwanjani huku wametumia ile kitu inayoitwa "bangi",kama waliona wameonewa si wangefuata sheria za soka?kumdhalilisha refa kiasi kile tena kwenye kadamnasi ya wa wapenda soka ni aibu kubwa sana,naomba TFF ichue adhabu kali sana ili iwe fundisho kwa wengine
 
waende jela maana kumpiga mtu inaitwa phisical asault or attempted muder.
 
Yanga almaarufu kwa ss MABONDIA jana baada ya kuona hamu ya kumpiga refa haijasha wakati wakiwa wanaelekea kwenye kambi yao ya ngumi jangwani shabiki mmoja hakupendezwa na kile kitendo walichofanya uwanjani hivyo akaanza kuwazomea mabondia na wao bila simile waliamua kutokea madirishani na kumkimbiza yule shabiki na kumpa kisago cha nguvu,alikimbizwa hospital na inasadikika kafariki leo ingawa habari bado ziko offline.

Source:
http://kandanda.galacha.com/1952/featured/kimenuka-jangwani
 
Kama ulikwenda mechi ya yanga na azam utakubalina nami chanzo cha vurugu ni rèfa.kwanza tuzungumzie swala la niyonzima ambaye ndo sorce of problem,mi nasema alionewa.kwanza kadi ya kwanza alipata kutokana na tacleling na mchezaji wa azam .hiyo haikuwa tatizo .tuje kwa kadi ya pili iliyozaa nyekundu,ilikua hv:
mpira ulitoka nje.sasa kulikuwa na utata juu ya mpira uliokuwa umeamliwa urusgwd na azam.niyonnzima akawa anallamika bila kumshika wala kumtukana.je ni sawa ree mchezaji kutolewa nje kwa kulalamika.huyu refa haonagi akina rooney wanavollmika kwa ukali hku watolea macho marefa wakatimwingine hd kupiga teke kibendera na hawatolewi.mi naona ni sawa yanga kumpiga refa ili iwe funzo kwa tff kutoweka marefa wabovu.na funzo kwa marefa wajinga kama yule..
 
Tuachilie mbali ulivyoandika, hivi ukizungumza pia upo hivyo? Hivi kuna sifa gani kumpiga refa kama sio ujinga. Pamoja na mapungufu ya refa, haikuwa sahihi wachezaji wakakosa nidhamu na kutunyima ushindi. Pengine ndio malezi ya klabu, sijui. Brain will always beat the brawn. Kama yapo mapungufu taratibu zipo. Uwanjani wachezaji waoneshe kwamba jitihada wanayo ingawa timu pinzani wapo 12.
 
Punguza ushabiki, kuwa rational ndio utaweza kuangalia, kuona, kufikiria na kuamua kwa usahihi; vinginevyo utakuwa unaongelea ushabiki tu na sio hali halisi ya kilichotokea uwanjani.
 
Tuachilie mbali ulivyoandika, hivi ukizungumza pia upo hivyo? Hivi kuna sifa gani kumpiga refa kama sio ujinga. Pamoja na mapungufu ya refa, haikuwa sahihi wachezaji wakakosa nidhamu na kutunyima ushindi. Pengine ndio malezi ya klabu, sijui. Brain will always beat the brawn. Kama yapo mapungufu taratibu zipo. Uwanjani wachezaji waoneshe kwamba jitihada wanayo ingawa timu pinzani wapo 12.

yani hapo ni sawa na kuniuliza kwann wananch wanawaadhib wez wakati sheria zipo.unataka kuniambia wachezaji hd mashabk wa yanga waliokuwnpo uwanjani wote hawana busara? Nasema hv mazingira ya kadi na uchezeshaj kiujumla ndo yalosabbisha apigwe.sio mara ya1 yanga kupewa kadi au kufungwa.hata nikisikia huyo refa kachomewa nyumba nitaona sawa 2
 
Tetesi nilizozipata ni kuwa yule alipewa rushwa ya sh.milioni sita na uongozi wa Azam. Je kuna mwenye ukweli wowote na taarifa hizi?
 
Chezea yanga wewe. Marehemu Abasi Gulamali hataisahau hii timu. Alichomewa duka lake la matairi ya garina mashabiki. Yanga hawataki ujinga hata kidogo. Yaani wafungwe kwa mbinu halafu muwazomee?patakuwa hapatoshi hapo.
 
Kama ulikwenda mechi ya yanga na azam utakubalina nami chanzo cha vurugu ni rèfa.kwanza tuzungumzie swala la niyonzima ambaye ndo sorce of problem,mi nasema alionewa.kwanza kadi ya kwanza alipata kutokana na tacleling na mchezaji wa azam .hiyo haikuwa tatizo .tuje kwa kadi ya pili iliyozaa nyekundu,ilikua hv:
mpira ulitoka nje.sasa kulikuwa na utata juu ya mpira uliokuwa umeamliwa urusgwd na azam.niyonnzima akawa anallamika bila kumshika wala kumtukana.je ni sawa ree mchezaji kutolewa nje kwa kulalamika.huyu refa haonagi akina rooney wanavollmika kwa ukali hku watolea macho marefa wakatimwingine hd kupiga teke kibendera na hawatolewi.mi naona ni sawa yanga kumpiga refa ili iwe funzo kwa tff kutoweka marefa wabovu.na funzo kwa marefa wajinga kama yule..
Kulitizama suala hili vizuri ni vema kuweka ushabiki pembeni. Well, labda utuambie (kama ulisikia) exactly huyo mchezaji alimwambia nini(what) na alimwambiaje (how) refa hata kupelekea kupewa adhabu? Na kisha tujiulize kwani taratibu za soka zinasemaje kuhusu mchezaji kumkaripia/kumfokea/kumtukana mwamuzi? Achana na kumgusa, kuna mchezaji aliwahi kuadhibiwa kwa kuonesha ishara ya kidole cha kati tu (whatever that action means!)...sasa itakuwa ya kumtolea (possibly) maneno machafu mwamuzi!?

Lakini kwa vyovyote vile, kitendo cha kumpiga mwamuzi hakikubaliki na sio cha ki anamichezo hata kidogo. Marefa ni binaadamu, wamaweza kufanya makosa katika maamuzi yao...na ndio maana zipo taratibu za rufaa na hata kuwaadhibu hao marefa wanapoboronga.

[h=3]A Player is Shown the Red Card and Sent Off if They Commit Any of the Following Seven Offences:[/h]
  1. Using offensive or insulting or abusive language and/or gestures
  2. Receiving a second caution in the match. This is the most common reason for being sent off.
  3. Serious foul play
  4. Spitting at an opponent or another person (e.g. a fan or an official)
  5. A player other than the goalkeeper denying an obvious goal scoring opportunity by deliberately handling the ball
  6. Violent conduct, such as throwing a punch
  7. Denying an obvious goalscoring opportunity to an opponent moving towards the player's goal is an offence punishable by a free kick or a penalty kick
 
Kwanza pole kwa kuandika kiswahili kibovu kabisa!

Pili, umesema tujadili uhalali wa vurugu za Yanga. Usitoe conclusion basi, tujadili pamoja kwanza! Kama vurugu za Yanga zingekuwa halali, polisi wangeacha wachezaji na washabiki wafanye vurugu, ila kwa kuwa si halali, polisi waliingia kudhibiti vurugu.

Tatu, kama ni halali, tutarajie TFF na Kamati zake wakitoa pongezi kwa wachezaji na washabiki wa Yanga. Maamuzi yatatolewa siku chache tu zijazo, tusubiri.

Hapa chini ni shabiki wa Yanga akiwa amezirai baada ya Niyonzima na Canavaro kupewa
red.JPG

azimia.jpg
 
si busara kwa dunia ya sasa yenye demokrasia kwa wachezaji kumpiga refa. kuna njia nyingi za kupinga unacho fanyiwa ata kama ni refa kumpiga refa na kuleta vurugu si suluhu ya tati. kwa mwendo huu soka la bongo alitafika popote.
 
Sports bar ya clouds fm wameripoti breaking news kuwa Nadir harub, tegete wamefungiwa mechi 6, omega na nurdin bakari mechi 3. mwasika mwaka 1 hachezi mpira. Safi sana TFF
 
Sports bar ya clouds fm wameripoti breaking news kuwa Nadir harub, tegete wamefungiwa mechi 6, omega na nurdin bakari mechi 3. mwasika mwaka 1 hachezi mpira. Safi sana TFF. Yanga nayo imepigwa fine ya 4.5m
 
au kuna mkono wa simba!!!!!!
 
Taarifa iko nusu mkuu..ungeeleza na sababu ya kufungiwa basi
 
Back
Top Bottom