Punguza ushabiki, kuwa rational ndio utaweza kuangalia, kuona, kufikiria na kuamua kwa usahihi; vinginevyo utakuwa unaongelea ushabiki tu na sio hali halisi ya kilichotokea uwanjani.Kama ulikwenda mechi ya yanga na azam utakubalina nami chanzo cha vurugu ni rèfa.kwanza tuzungumzie swala la niyonzima ambaye ndo sorce of problem,mi nasema alionewa.kwanza kadi ya kwanza alipata kutokana na tacleling na mchezaji wa azam .hiyo haikuwa tatizo .tuje kwa kadi ya pili iliyozaa nyekundu,ilikua hv:
mpira ulitoka nje.sasa kulikuwa na utata juu ya mpira uliokuwa umeamliwa urusgwd na azam.niyonnzima akawa anallamika bila kumshika wala kumtukana.je ni sawa ree mchezaji kutolewa nje kwa kulalamika.huyu refa haonagi akina rooney wanavollmika kwa ukali hku watolea macho marefa wakatimwingine hd kupiga teke kibendera na hawatolewi.mi naona ni sawa yanga kumpiga refa ili iwe funzo kwa tff kutoweka marefa wabovu.na funzo kwa marefa wajinga kama yule..
Tuachilie mbali ulivyoandika, hivi ukizungumza pia upo hivyo? Hivi kuna sifa gani kumpiga refa kama sio ujinga. Pamoja na mapungufu ya refa, haikuwa sahihi wachezaji wakakosa nidhamu na kutunyima ushindi. Pengine ndio malezi ya klabu, sijui. Brain will always beat the brawn. Kama yapo mapungufu taratibu zipo. Uwanjani wachezaji waoneshe kwamba jitihada wanayo ingawa timu pinzani wapo 12.
Tetesi nilizozipata ni kuwa yule alipewa rushwa ya sh.milioni sita na uongozi wa Azam. Je kuna mwenye ukweli wowote na taarifa hizi?
Hee..!! Hata AZAM nao wanahonga waamuzi.....!!!Fweza mbaya,ilimuuza hata Masiah.
Kulitizama suala hili vizuri ni vema kuweka ushabiki pembeni. Well, labda utuambie (kama ulisikia) exactly huyo mchezaji alimwambia nini(what) na alimwambiaje (how) refa hata kupelekea kupewa adhabu? Na kisha tujiulize kwani taratibu za soka zinasemaje kuhusu mchezaji kumkaripia/kumfokea/kumtukana mwamuzi? Achana na kumgusa, kuna mchezaji aliwahi kuadhibiwa kwa kuonesha ishara ya kidole cha kati tu (whatever that action means!)...sasa itakuwa ya kumtolea (possibly) maneno machafu mwamuzi!?Kama ulikwenda mechi ya yanga na azam utakubalina nami chanzo cha vurugu ni rèfa.kwanza tuzungumzie swala la niyonzima ambaye ndo sorce of problem,mi nasema alionewa.kwanza kadi ya kwanza alipata kutokana na tacleling na mchezaji wa azam .hiyo haikuwa tatizo .tuje kwa kadi ya pili iliyozaa nyekundu,ilikua hv:
mpira ulitoka nje.sasa kulikuwa na utata juu ya mpira uliokuwa umeamliwa urusgwd na azam.niyonnzima akawa anallamika bila kumshika wala kumtukana.je ni sawa ree mchezaji kutolewa nje kwa kulalamika.huyu refa haonagi akina rooney wanavollmika kwa ukali hku watolea macho marefa wakatimwingine hd kupiga teke kibendera na hawatolewi.mi naona ni sawa yanga kumpiga refa ili iwe funzo kwa tff kutoweka marefa wabovu.na funzo kwa marefa wajinga kama yule..
[h=3]A Player is Shown the Red Card and Sent Off if They Commit Any of the Following Seven Offences:[/h]
- Using offensive or insulting or abusive language and/or gestures
- Receiving a second caution in the match. This is the most common reason for being sent off.
- Serious foul play
- Spitting at an opponent or another person (e.g. a fan or an official)
- A player other than the goalkeeper denying an obvious goal scoring opportunity by deliberately handling the ball
- Violent conduct, such as throwing a punch
- Denying an obvious goalscoring opportunity to an opponent moving towards the player's goal is an offence punishable by a free kick or a penalty kick
Sports bar ya clouds fm wameripoti breaking news kuwa Nadir harub, tegete wamefungiwa mechi 6, omega na nurdin bakari mechi 3. mwasika mwaka 1 hachezi mpira. Safi sana TFF. Yanga nayo imepigwa fine ya 4.5m
au kuna mkono wa simba!!!!!!