Kitendo cha wachezaji wa yanga kumpiga refa hakikubaliki

Hio adhabu mbona wametoa kubwa hivo?

Kwa kitendo walichofanya, nadhani adhabu hiyo ni ndogo, viwanja vya mpira sio sehemu ya masumbwi-kama ni masumbwi ni bora wakajiunge na kina Matumla
 
Taarifa iko nusu mkuu..ungeeleza na sababu ya kufungiwa basi


Mkuu inaonyesha mpira na wewe mbali mbali kama bado unauliza nini kilitokea mpaka wamefungiwa ??????????
 
Sababu ya kufungiwa ni nn? Then kumfungia mtu mwaka mzima ni kuuwa kiwango au kurekebisha?

sababu ni kurusha makonde uwanjani hyu mwasika hata wangemfungia maisha ilirusha ngumi ilyompta mwmuzi,trezor mputu alifungiwa miaka 2 kwa kosa kma hlo tena na fifa hicha kjamaa cha yanga wamekipendelea,mpira sio uhuni.
 

yahoo!samahani naomba nikuulize!jf panajulikana kama sehemu au nyumbani kwa ma-great thinker,kwa hiyo wewe umekaa,umefikiri na kutafakari,na kila ulichoweza kufikiri ndio hiki ulichoandika hapa?!
 
Taarifa iko nusu mkuu..ungeeleza na sababu ya kufungiwa basi

[h=6]kamati ya mashindano ya TFF imewafungia wachezaji watano wa Yanga kutokana na vurugu zilizotokea hapo siku ya jumamosi kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Azam Fc,[/h][h=6]wachezaji waliofungiwa ni Stephano Mwasika aliyefungiwa mwaka mmoja huku Nadir Haroub na Jerry Tegete wakifungiwa jumla ya michezo sita,Nurdin Bakari na Omega Seme wamefungiwa kila mmoja michezo mitatu.[/h][h=6]huku Yanga ikipigwa faini ya shilingi milioni 4.5.[/h]
 

Kwa taarifa tu, hao wendawazimu wako unaowasifia wamefungiwa.
 
Mimi ni shabiki wa Yanga lakini nakubaliana na adhabu hii tena ingekuwa kali zaidi, kumpiga refa ni kitendo cha aibu inaonesha jinsi gani mmefilisika kimpira.
 
Sports bar ya clouds fm wameripoti breaking news kuwa Nadir harub, tegete wamefungiwa mechi 6, omega na nurdin bakari mechi 3. mwasika mwaka 1 hachezi mpira. Safi sana TFF. Yanga nayo imepigwa fine ya 4.5m

kwanini wasinge wapa fomu kutoka chama cha ngumi za ridhaa maana ni mabondia hao wakati huo wamapumziko..
 
TFF imemfungia mwaka 1 mchezaji wa yanga stephano mwasika,pia mechi sita kwa canavaro,na Tegete,pia mechi 3 kwa nurdin bakari,na omega seme na YANGA kupigwa faini ya milioni 4.5 kutokana na vurugu kati ya mechi ya yanga na Azam
 
Mawazo finyu sana hayo.... wewe umpige refa halafu useme kuna mkono wa simba.

Kandambili punguza jazba, bado nauliza mtani anajaribu kulegeza mechi ya marudiano?
 
Mimi ni shabiki wa Yanga lakini nakubaliana na adhabu hii tena ingekuwa kali zaidi, kumpiga refa ni kitendo cha aibu inaonesha jinsi gani mmefilisika kimpira.

khakha wewe yanga ipi kampuni au asili?
 
wapumbafu sana.hawa wachezaji wa yanga mpira hawajui kazi kupiga waamuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…