Mtanzania haswa
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 663
- 100
Taarifa iko nusu mkuu..ungeeleza na sababu ya kufungiwa basi
sababu ni vurugu zilizotokea kwenye mechi kati ya azam na yanga jumamosi trh 10 march, wao ndio walioonekana kufanya vurugu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taarifa iko nusu mkuu..ungeeleza na sababu ya kufungiwa basi
Sababu ya kufungiwa ni nn? Then kumfungia mtu mwaka mzima ni kuuwa kiwango au kurekebisha?
Hio adhabu mbona wametoa kubwa hivo?
Taarifa iko nusu mkuu..ungeeleza na sababu ya kufungiwa basi
Hio adhabu mbona wametoa kubwa hivo?
au kuna mkono wa simba!!!!!!
Sababu ya kufungiwa ni nn? Then kumfungia mtu mwaka mzima ni kuuwa kiwango au kurekebisha?
Kama ulikwenda mechi ya yanga na azam utakubalina nami chanzo cha vurugu ni rèfa.kwanza tuzungumzie swala la niyonzima ambaye ndo sorce of problem,mi nasema alionewa.kwanza kadi ya kwanza alipata kutokana na tacleling na mchezaji wa azam .hiyo haikuwa tatizo .tuje kwa kadi ya pili iliyozaa nyekundu,ilikua hv:
mpira ulitoka nje.sasa kulikuwa na utata juu ya mpira uliokuwa umeamliwa urusgwd na azam.niyonnzima akawa anallamika bila kumshika wala kumtukana.je ni sawa ree mchezaji kutolewa nje kwa kulalamika.huyu refa haonagi akina rooney wanavollmika kwa ukali hku watolea macho marefa wakatimwingine hd kupiga teke kibendera na hawatolewi.mi naona ni sawa yanga kumpiga refa ili iwe funzo kwa tff kutoweka marefa wabovu.na funzo kwa marefa wajinga kama yule..
Taarifa iko nusu mkuu..ungeeleza na sababu ya kufungiwa basi
Hio adhabu mbona wametoa kubwa hivo?
yani hapo ni sawa na kuniuliza kwann wananch wanawaadhib wez wakati sheria zipo.unataka kuniambia wachezaji hd mashabk wa yanga waliokuwnpo uwanjani wote hawana busara? Nasema hv mazingira ya kadi na uchezeshaj kiujumla ndo yalosabbisha apigwe.sio mara ya1 yanga kupewa kadi au kufungwa.hata nikisikia huyo refa kachomewa nyumba nitaona sawa 2
Sports bar ya clouds fm wameripoti breaking news kuwa Nadir harub, tegete wamefungiwa mechi 6, omega na nurdin bakari mechi 3. mwasika mwaka 1 hachezi mpira. Safi sana TFF. Yanga nayo imepigwa fine ya 4.5m
Mawazo finyu sana hayo.... wewe umpige refa halafu useme kuna mkono wa simba.
Mimi ni shabiki wa Yanga lakini nakubaliana na adhabu hii tena ingekuwa kali zaidi, kumpiga refa ni kitendo cha aibu inaonesha jinsi gani mmefilisika kimpira.