Kitendo kipi ni cha aibu zaidi?

Kitendo kipi ni cha aibu zaidi?

Mkirua asante ila tunarudi pale pale kwamba kama ni utamaduni unaenda ukibadilika na muda...yani nao unaenda na wakati.Hivyo basi huu nao umeenza kujiingiza kwenye utamaduni wetu...hata kama sio wa Kitanzania bali ni wa kundi fulani ndani ya Tanzania ...kama ambavyo mila na tamaduni za baadhi ya makabila zikivyo. Kwasababu tu baadhi ya mila na tamaduni za makabila mengine hazinihusu mimi siwezi kukataa kwamba nazo ni sehemu ya utamaduni wetu japo sio taifa zima linazozikubali na kuzifuata.

Hivyo hivyo kwa hawa watu...ndio maana siku hizi hata nguo wanaweza vaa vile wanavyopenda..kutembea tofauti na inavyoaminika mwanaume anatakiwa atembee...kuongea kwa madaha ya kike n.k mbele za watu...mitaani na hata majumbani.

Inawezekana wakawa hawakubaliki kwa asilimia kubwa ya Watanzania ila wapo watu wanaowakubali...na wao kama kundi wameufanya huu utamaduni kua wao.Kadiri kundi litakavyoongezeka ndivyo na utamaduni wao utavyoshika kasi ya kua kwenyr chati sawa na tamaduni zetu nyingine.

Uko sahihi kwa kiasi kikubwa Lizzy. Utamaduni umegawanyika katika makundi mengi na kila kabila and some times ukoo wana utamaduni ambao in a way unatofautiana na mwingine na actually ndio sababu ya tofauti zetu.... Pengine Lugha yangu na baadhi ya mila zangu na eneo ninalotoka ndivyo vinavyonifanya niitwe/nijiite Mkirua na wewe "Mmachame" a.ka. Mpalestina.. (a joke plz).

Katika Level ya Taifa si rahisi kuwa na vitu vingi... Mkusanyiko wa yale yoote tunayokubaliana nayo ndio msingi wa utamaduni wa Taifa..Mathalan lugha ya Kiswahili ni kielelezo mojawapo.
Tuje kwenye utamaduni wa mashoga sasa yaani kuongezeka kwa hao watu wanaowaunga mkono then ikawa part and parcel ya huo utamaduni.... Mungu apitishe mbali ... Think of a situation una kaka yako unayemuheshimu sana mathalan ndo kaka pekee nyumbanni then siku ukakuta ameshikishwa ukuta..... Huku tuendako nakubaliana na wewe kwa kizazi tulicho nacho na kasi ya kuiga mambo ya wazungu... uvivu wa kujishughulisha... maendeleo ya teknolojia ... Muingiliano wa watu though Globalization..... huenda Tanzania nayo ikaangukia kwenye "utamaduni huo.".... Mungu Ibariki Tanzania...

Mkirua mwenyewe sitamani kabisa mtoto wangu wa kiume au hata ndugu yangu awe hivyo. Ila sasa sina budi kukubali kwamba hawa watu wapo bila kua na chuki nao au kuhangaika kuwadhalilisha kwasababu sitobali chochote kwa kufanya hivyo. Cha muhimu ni kumuomba Mungu kasi ya usambaaji wa hii tabia isiwe kali...basi!!

Hehe we nitanie tu...ntakapokushikia shami shingoni ndo utajua kwanini tunaitwa Wapalestina.

Hapo kwenye Red I beg to differ. Hii ni dalili ya kukata tamaa. Yeyote mwenye tabia hii akikatisha mbele yangu nikaprove beyond reasonable doubt nampa tu ya kumtosha. Naamini sitoweza kubadili wote but at least i can save the few especially around me. Suppose ni Houseboy wako bado utaendelea kuwa nae kwakuwa hotobadili chochote? Ni lazima kusimamia kile unachokiamini kuwa ni sahihi otherwise na sisi tunakuwa part kile tusichokiamini. Nyerere alipoudhiwa na utawala wa mzee Ruksa walipopitisha the so called Azimio la Zanzibar aliwahi kusema kuwa "Katika utawala wetu tumefanya mabo mengi mazuri na mengine mengi ya hovyo kabisa.... Sasa cha ajabu mnayaacha yale ya maana na kuchukua yale ya hovyo..."

My Take: Kwakuwa tusioamini ushoga ni wengi let stand up against any sign of it and togather we can!! Tusiache mambo ya hovyo (unless kama kwa dhati hatuamini hivyo) yakatawala na kuchukua yale ya maana.

A joke:....Lizzy zamani nasikia ukitaka kuoa mpalestina unaulizwa.... (1) Utire numba ya mawo..... Una nyumba ya mawe (Tofali?)....(2) Utire Kabati ya picha...... Una television?......(3) Utire umbe ya malela? Una ng'ombe wa maziwa? ..... (4) Utire Kabati ya mbeho?.... una Friji?... (5) Utire Toyota Stauti? Una gari aina ya Toyota staut kwa ajili ya kubeba majani ya ng'ombe? Ukijibu hata moja kuwa huna eti unaambiwa hauko serious na ukajipange upya.... Haka kautamaduni kapo bado?

Mkirua...ukimuonyesha huyo mtu chuki na asipobadika utamuua?!Kama ni ndugu/mwanao utamtenga na kumfukuza nyumbani?!Kama ni jirani yako utahama au utamhamisha yeye?!

Kesho ukisikia huyo mtu uliyemwonyesha chuki/dharau/unyanyapaa/udhalilishaji amejiua na akaacha ujumbe kwamba sababu ni wewe/watu wa aina yako utajisikia amani na kufikiria kwamba ni afadhali mmoja amepungua?!

Naomba unijibu maswali yote!!

J....hehehe...mambo ya kupelekwa kwenye nyumba za njaa nani anataka?!

kuna shoga wa kikurya na mwingine wa kimasai niko nao hapa kwa mama ntilie, wanatishiana tuthpiki.

Lizzy wengine tuna msimamo na tupo tayari kwa lolote ili tu kutetea kile tunachokiamini...Najibu maswali yako kama ifuatavyo.
1. Kama huyo mtu asipobadilika nitajitenga naye kabisa... Nakuapia nikijua wewe bwabwa hatutakaa meza moja kamwe.
2. Kama ni ndugu au mwanangu (Mungu apitishe mbali) Nammwaga rasmi. Hutokula changu wala kulalia kitanda changu na kama uko below 18 nakupeleka upanga kwenye jela ya watoto.
3. Kama ni jirani siwezi kuhama au kumhamisha ila kimawasiliano hatutakuwa majirani tena.. Kama nina uwezo naweka boonge la ukuta nikiingia hata nisimuone usoni. Hapo ni baada ya juhudi za kumsaidia kuprove failure.
4. Kama akihamua yeye kujiua kwasababu nimehamua kujitenga nae kwa kufanya kile mimi/sisi tunachoamini si sawa basi sioni tatizo hapo. Napotezea tu kwani nia yangu ilikuwa nzuri na sitakuwa nimevunja sheria yeyote ya nchi.
5. Nikuulize na wewe swali moja tu.... Assume umemkuta mumeo anashikishwa ukuta..... ukajaribu kumsaidia ikashindikana na jamii yote around you inajua mmeo ni bwabwa. Bado utaendelea na hiyo ndoa na utakuwa happy tu kutoka naye outing?

Joke..... yaani nyie mnataka ready made uje ukute kila kitu? ukinyanyaswa utalalamika? Wapalestina bana!

kuna shoga wa kikurya na mwingine wa kimasai niko nao hapa kwa mama ntilie, wanatishiana tuthpiki.

Du! Mkuu upo kati kati ya mashoga?... Mh Miarabu ya pemba......
Halafu hayo makabila bana hayana utamaduni huo....

Mkirua dah...kweli wewe ni extremist!!

Binafsi sitoweza kuendelea nae kwasababu hisia zake ziko kwa mwanaume mwingine ila hana maana ndo hata kuongea nae ntaacha!!!

J...heheehehe...hamna kitu.Kwani yunachokutaka kitabaki hivyo hivyo au kitaongezeka?!Vile tunafanya kujua kama mtu amebweteka au ni wa kujituma.

Does it mean haya mambo yameshakuwa ya kawaida bongo hadi yanajadiliwa kiasi hiki? mara yupi bora malaya au msagaji, mara kuwa shoga au kubadili jinsia! Pleeease, we dont need this!

Mkirua...ukimuonyesha huyo mtu chuki na asipobadika utamuua?!Kama ni ndugu/mwanao utamtenga na kumfukuza nyumbani?!Kama ni jirani yako utahama au utamhamisha yeye?!

Kesho ukisikia huyo mtu uliyemwonyesha chuki/dharau/unyanyapaa/udhalilishaji amejiua na akaacha ujumbe kwamba sababu ni wewe/watu wa aina yako utajisikia amani na kufikiria kwamba ni afadhali mmoja amepungua?!

Naomba unijibu maswali yote!!

J....hehehe...mambo ya kupelekwa kwenye nyumba za njaa nani anataka?!

lizzy we unaongea unaona ni sawa tu coz mashoga ndo mashosti zenu ila mi jishoga kama ni mwanangu i'll kill him

Back
Top Bottom