Kitenge aigeuka DP World? Hii Nukuu yake inafikirisha

Kitenge aigeuka DP World? Hii Nukuu yake inafikirisha

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,072
Reaction score
2,384
Hii ni Nukuu kutoka kwa aliyewahi kuwa Waziri Zambia. Bw. Kapwepwe. Ingawa yeye Kitenge kwa kuwa ni bwege hajaweka kama nukuu. Yaani kajifanya kama ndo yeye kaandika. Sisi wajuvi tunaelewa. Ilisemwa na nani.

Screenshot_2025-01-31-08-04-12-294_com.twitter.android~2.jpg
 
MWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

Amina Tena Amina Amina Tena amina


UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
 
Huyo anajiaemea tu. Inawezekana hakujua kama linaweza kumtokea puani na akafukuzwa toka kwenye pakacha la chawa wenzie
 
Huwezi kukwepe uwekezaji , kiufupi mwafrika hajui chochote hata elimu analetewa .
 
Rushwa imekwisha ss anataka tena!! Na DP wameziba mackio.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Back
Top Bottom