Yupo pale usafini kwenye kipindi cha michezo
Mimi si mkazi wa kudumu.Marekani maneno "mkazi wa kudumu" (permanent resident) yana maana yake maalum kisheria, usiyatafsiri Kiswahili tu.Mkuu...
Nawe Umkazi Wa Kudumu Huko US toka kipindi kileeee wazazi wako wawili walipostaafu pale ikulu ya magogoni...
Hivi kwani Dar es salaam unakuja kufanya Nini?!!
Peace.
Bila shaka Mke wake mdogo Rose Chitala, ndiye anayemwezesha safari hizo, inawezekana anaenda kwa mke mdogo.Nimekua nikimfutilia Bwana Maulid Kitenge kwa kipindi sasa amekua na safari za kwenda Marekani,
Hv kuna anayefahamu huyu jamaa anafuataga nini huko mara kwa mara maana kwa namna anayonekana kwenye social medias ni kama hana jambo la msingi la kihabari linalompeleka kule.
Just being curious
Hujambo mrembo?Abeee
Sasa mzigo unapelekwa Pakistan au unatoka Pakistan? kwa taarifa USA wamekuwa wahanga wakubwa maana ndio soko kubwa wale mafia wa drug walikuwa mpaka ndege wanashusha USA ton za mizigo. Mimi sisemi Kitenge anafanya kazi hiyo sababu siamini mimi ni mtu anapenda kusafiri na hizi ni hobby za watu hata mimi napenda kusafiri nikiweza. ila kuna watu walishachunguzwa ukionekana unafanya trip kibao wanakuuliza na unaweza kuwa clean tu ila ukionekana sana wana raise red flag inatokea. Ila Kitenge mimi siamini na kama angekuwa anafanya hayo wala asingekuwa anajipost ila ni mtu anajipenda na ana enjoy traveling.Unadhani Marekani ni kama Pakistan unaingiza tu mzigo na kutoka...acheni ujinga.
Nileteeni unoNileteeni chidiii
Nileteeni chidiiii
Nileteeni chidiiiiiii
Wapi wazee wa remix wamwambie kuna new name in town
Mimi si mkazi wa kudumu.Marekani maneno "mkazi wa kudumu" (permanent resident) yana maana yake maalum kisheria, usiyatafsiri Kiswahili tu.
Mimi ni raia.Kuna tofauti kubwa ya kisheria. Haya maneno yana tofauti kubwa kwa anayeelewa mfumo wa US.
Na Dar/ Tanzania sijakanyaga mwaka wa nane huu.
Kabla ya hapo nilikuwa sijakanyaga miaka kumi.
Naweza kuwa nakuja mara moja kwa miaka kumi.
Nakuja kwa shughuli maalum tu.
Familia yangu inanitembelea huku kila mwaka.
Mara ya mwisho nilikuja Tanzania kwenye harusi ya mdogo wangu.
Na hata nikiamua kuja kila mwezi, sina masharti ya kunitaka niishi na kufanya kazi Marekani kama aliyo nayo "permanent resident".
Kama huelewi mfumo wa uhamiaji wa Marekani, huwezi kuelewa hoja yangu.
Mostly not. Unless kuwe na exception inayoeleweka State Department.Pia nadhani sidhani kibongo bongo sheria ya mtu kutokuwa na uraia wa nchi mbili unafatiliwa kisawasawa,
Kumbe permanent resident wa Marekani hatakiwi kufanya kazi hapa kwetu Bongo land ?
Chagua Lissu upate uhuru, haki na maendeleo ya watu[emoji111]Hujambo mrembo?
Unafahamu kwamba Cocaine inaingizwa Pakistan na Heroin inatoka Pakistan? Tatizo lenu vijana Movies na Story za vibanda umiza zinawaharibu sana. Hakuna mnalolijua zaidi ya kuguess mambo.Sasa mzigo unapelekwa Pakistan au unatoka Pakistan? kwa taarifa USA wamekuwa wahanga wakubwa maana ndio soko kubwa wale mafia wa drug walikuwa mpaka ndege wanashusha USA ton za mizigo. Mimi sisemi Kitenge anafanya kazi hiyo sababu siamini mimi ni mtu anapenda kusafiri na hizi ni hobby za watu hata mimi napenda kusafiri nikiweza. ila kuna watu walishachunguzwa ukionekana unafanya trip kibao wanakuuliza na unaweza kuwa clean tu ila ukionekana sana wana raise red flag inatokea. Ila Kitenge mimi siamini na kama angekuwa anafanya hayo wala asingekuwa anajipost ila ni mtu anajipenda na ana enjoy traveling.
Wala sio movies kuna documentary true stories huwezi kupeleka bidhaa sehemu watu maskini hawana pesa ya kununua kwa big $$$$ pale zinapita tu kutoka Afghanistan and wao wana produce kuna soko la ndani kama nchi zingine ila wateja wakubwa wako huko kwenye pesa.Unafahamu kwamba Cocaine inaingizwa Pakistan na Heroin inatoka Pakistan? Tatizo lenu vijana Movies na Story za vibanda umiza zinawaharibu sana. Hakuna mnalolijua zaidi ya kuguess mambo.
Nafahamu kuwa heroin inapita Pakistan kutokea Afghanstan lkn pia Cocaine inaingizwa Pakistan kama inavyoingizwa Tanzania au hujui tofauti ya Heroin na Cocaine na kila kimoja kinapatikana wapi?Wala sio movies kuna documentary true stories huwezi kupeleka bidhaa sehemu watu maskini hawana pesa ya kununua kwa big $$$$ pale zinapita tu kutoka Afghanistan and wao wana produce kuna soko la ndani kama nchi zingine ila wateja wakubwa wako huko kwenye pesa.
The heroin was smuggled through Pakistan to reach the global markets, ... Out of the $90 billion global cocaine trade the farmers in three ..
Afande Sele alishalijibuNimekua nikimfutilia Bwana Maulid Kitenge kwa kipindi sasa amekua na safari za kwenda Marekani,
Hv kuna anayefahamu huyu jamaa anafuataga nini huko mara kwa mara maana kwa namna anayonekana kwenye social medias ni kama hana jambo la msingi la kihabari linalompeleka kule.
Just being curious