Mimi si mkazi wa kudumu.Marekani maneno "mkazi wa kudumu" (permanent resident) yana maana yake maalum kisheria, usiyatafsiri Kiswahili tu.
Mimi ni raia.Kuna tofauti kubwa ya kisheria. Haya maneno yana tofauti kubwa kwa anayeelewa mfumo wa US.
Na Dar/ Tanzania sijakanyaga mwaka wa nane huu.
Kabla ya hapo nilikuwa sijakanyaga miaka kumi.
Naweza kuwa nakuja mara moja kwa miaka kumi.
Nakuja kwa shughuli maalum tu.
Familia yangu inanitembelea huku kila mwaka.
Mara ya mwisho nilikuja Tanzania kwenye harusi ya mdogo wangu.
Na hata nikiamua kuja kila mwezi, sina masharti ya kunitaka niishi na kufanya kazi Marekani kama aliyo nayo "permanent resident".
Kama huelewi mfumo wa uhamiaji wa Marekani, huwezi kuelewa hoja yangu.