Kitenge ana shughuli gani Marekani?

Kitenge ana shughuli gani Marekani?

Nilisikia jamaa ameoa huko U.S.A,pia S.A na Mke mwingine yupo UK,mmoja ndiyo yupo naye Dar.So hao wa nje ndiyo wanamwezesha awapelekee Dushe kwa nyakati tofauti

Mkuu alisema kwenye interview ya Bartende kuwa ameachana nao hao wote.Yupo single kwa sasa nafikri.
 
Nimekua nikimfutilia Bwana Maulid Kitenge kwa kipindi sasa amekua na safari za kwenda Marekani,
Hv kuna anayefahamu huyu jamaa anafuataga nini huko mara kwa mara maana kwa namna anayonekana kwenye social medias ni kama hana jambo la msingi la kihabari linalompeleka kule.

Just being curious
 
Kama si ukosefu wa pembejeo na taaluma basi ungekuwa Mchawi gwiji
Nimekua nikimfutilia Bwana Maulid Kitenge kwa kipindi sasa amekua na safari za kwenda Marekani,
Hv kuna anayefahamu huyu jamaa anafuataga nini huko mara kwa mara maana kwa namna anayonekana kwenye social medias ni kama hana jambo la msingi la kihabari linalompeleka kule.

Just being curious
 
Ila kuna ukweli jamaa anaruka Sana unyamwezini sasa kwa habari gani anazofuatilia....?mhhh nanusa harufu ya kitu illegal.
 
Back
Top Bottom