Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Nani kawaambia muishi kwa hofu kisa Corona ?Kwani nani kakwambia ujifungie ndani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kawaambia muishi kwa hofu kisa Corona ?Kwani nani kakwambia ujifungie ndani?
Nini tena brooIla wewe!
Shaffih na Kumwembe hawa ni wadananda wa Samatta , wanasafiri sana kwa hisani ya Samatta. Kitenge sijui ni mdananda wa nani!?Ni kama wanaoneshana umwamba na akina Edo Kumwembe na Shafii Dauda
Hizo hoja za uchumi wa kati kapeleke kwenye jukwaa la uchumi na biashara. Hii ni celebrities forum, so kuwajadili celebrities ndio sehemu yake.kwann wabongo tuko hivi maonensho gani unayosema ww ya 77 au yap 88 au ???jenga hoja na tujadili hoja zenye mantiki...ok kaenda kusalimia familia eehh alafu tunajadili nn sasa???tusiwe hivo...kumbukeni tuko uchumi wa kati..jenga hoja za uchumi wa kati
Hello JF,
Baraka za Mungu zitande juu yenu katika kutafuta mkate wa leo.
Sasa wakuu iko hivi, ni karibu mwezi sasa huyu mwanahabari na mdau wa michezo nguli yuko kwa Trump. Hata habari huwa anareport kutokea huko. Ninachojiuliza kwa sasa kuna umuhimu gani yeye kuwa huko. Najua kwa aina ya kazi yake kusafiri ni kawaida hususani kama kuna tukio la kimichezo kwenye nchi husika.
Lakini kwa sasa huko alipo hakuna tukio lolote la kimichezo hata habari anazoreport huwa ni kutokea hapa nchini, anazireport habari za hapa nchini akiwa USA. Sasa Je, kipi kinamfanya azurure huko USA. Je, ni kwa pesa za ofisi? Si matumizi ya pesa yasiyo ya lazima hayo?
Acha vihoja. Vipi wewe unachangia uzi ambao hauna maana, ilhali kuna majukwaa kibao yenye uzi zenye maana!?Hizi mada hazifai kujadiliwa na wanaume marijali!
Zinadhalilisha uanamume na taaluma ya kiume
Kama hii ndio mijadala ya wanaume, wanawake wana haki ya kudai usawa!
GENTLEMEN STOP THIS
Wengi wamekuja kuniattack lakini wewe umejibu vyema sana.Kitenge ni mtu wa kitengo. Utangazaji ni kuzuga tuu.
Kumbuka alivyo izima issue ya nape , kwa kuwazuia wale vijana wasifanye upumbavu.
Sijui kitengo hiki cha tiss cha kuzurura kinaitwaje, ila wapo wengi sana .
Kuna makundi mawili
Kundi la kwanza ni wale wanaotembea ndani.
Hawa kila kukicha ni kusafiri tuu, mikoa yote kata zote wanazijua.
Kundi la pili ndio hawa kina kitenge wao ni ndege tuu.
ni mtizamo wako tu. binafsi sioni tatizo especially kwa mtu ambaye anapenda kusafiri na masuala ya adventure.Hii tabia ya ku post sijui upo wapi naichukia
Hello JF,
Baraka za Mungu zitande juu yenu katika kutafuta mkate wa leo.
Sasa wakuu iko hivi, ni karibu mwezi sasa huyu mwanahabari na mdau wa michezo nguli yuko kwa Trump. Hata habari huwa anareport kutokea huko. Ninachojiuliza kwa sasa kuna umuhimu gani yeye kuwa huko. Najua kwa aina ya kazi yake kusafiri ni kawaida hususani kama kuna tukio la kimichezo kwenye nchi husika.
Lakini kwa sasa huko alipo hakuna tukio lolote la kimichezo hata habari anazoreport huwa ni kutokea hapa nchini, anazireport habari za hapa nchini akiwa USA. Sasa Je, kipi kinamfanya azurure huko USA. Je, ni kwa pesa za ofisi? Si matumizi ya pesa yasiyo ya lazima hayo?
Hii tabia ya ku post sijui upo wapi naichukia
Hapo chachaHivi ingekua kaenda kwao Kijijini angejinadi hivyo na mapicha? nauliza tu.
Sasa kitenge kafika fikajee hukoHilo anga limefungwa kitambo
Dalili ya kukosa Cha kufanyaHello JF,
Baraka za Mungu zitande juu yenu katika kutafuta mkate wa leo.
Sasa wakuu iko hivi, ni karibu mwezi sasa huyu mwanahabari na mdau wa michezo nguli yuko kwa Trump. Hata habari huwa anareport kutokea huko. Ninachojiuliza kwa sasa kuna umuhimu gani yeye kuwa huko. Najua kwa aina ya kazi yake kusafiri ni kawaida hususani kama kuna tukio la kimichezo kwenye nchi husika.
Lakini kwa sasa huko alipo hakuna tukio lolote la kimichezo hata habari anazoreport huwa ni kutokea hapa nchini, anazireport habari za hapa nchini akiwa USA. Sasa Je, kipi kinamfanya azurure huko USA. Je, ni kwa pesa za ofisi? Si matumizi ya pesa yasiyo ya lazima hayo?
magauni kaka, wazungu wanapenda sana ubantu
Tukitaka kuishi kwa hofu au kutoishi kwa hofu kwetu wewe kinakuwasha nini?Nani kawaambia muishi kwa hofu kisa Corona ?
sawa lakini tuangalie ya kujadili pia kaka...kweli unaanza kunijadili kwann napanda ndege au nmeenda kufanya nn kweli ni hoj???kwann isingekuja hoja mezani kwamba namna maulid kitenge anavopambana kujibrand hauoni ingekuwa hoja nzuri mbele ya umma au kwa kuwa ni maulid basi ndo hata akipenga makamasi tayari kwetu ni topic???Hizo hoja za uchumi wa kati kapeleke kwenye jukwaa la uchumi na biashara. Hii ni celebrities forum, so kuwajadili celebrities ndio sehemu yake.
kumbuka ww ni mali ya serikaliTukitaka kuishi kwa hofu au kutoishi kwa hofu kwetu wewe kinakuwasha nini?