Kavirondo
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 751
- 1,605
hakikaUkweli ninkwamba, maisha ya mtu yana thamani ndogo sana Tanzania.
semi god...Ndiyo maana mtu anaweza kusemanhiyo kauli ya kuweka mbele uchumi kuliko maisha ya mtu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakikaUkweli ninkwamba, maisha ya mtu yana thamani ndogo sana Tanzania.
semi god...Ndiyo maana mtu anaweza kusemanhiyo kauli ya kuweka mbele uchumi kuliko maisha ya mtu.
Ndo ilivyo maana mwaka mmoja nje ya usa huna tena hiyo card.Inaweza kuwa ili asikiuke ya green card
Kama ni green card anatakiwa aishi Marekani kama permanent resident halafu kama ana safari za nje mara moja moja anatoka Marekani kwenda huko nje.Inaweza kuwa ili asikiuke ya green card
Kama jamaa anafurahia hakuna tatizo. Me naona ni sawa acha apost sio lazima kupenda kila anachokipenda mwingine.Hii tabia ya ku post sijui upo wapi naichukia
Umemaliza kila kitu mkuu,,,hao uliowa qoute wote wakizeeka lazima wawe wachawi au wafuga kajini..Masikini wa fikra..tafuteni pesa wakuu ....wake zenu wafurahi na watoto wenu, ukianza kuchukia hustle za mwanaume mwenzio utapata shida sana
familia zenu wasije wakakosa hata majeneza ya kuwazikia siku mkifa.
Picha za zaman hizo. Marekani bado wanaadhibiwa na kitu CoVID. Besides wacheni jamaa ale maisha hata kama analelewa Kama Anko Uche TrumpHivi kumbe Trump kashafungua mipaka huko?
Let's meet at the top, cheers 🥂
Mkuu, jamaa ni kweli yupo US ,hata vipindi vya redio siku hizi pale wasafi anareport kutokea huko.Picha za zaman hizo. Marekani bado wanaadhibiwa na kitu CoVID. Besides wacheni jamaa ale maisha hata kama analelewa Kama Anko Uche Trump
Tupime na kutangaza ili iweje ?Nchi hata vipimo haipimi, halafu mtu anakwambia Covid is overrated!
Wakati wanaopima wanakwambia mpaka sasa huu ugonjwa hatujauelewa vizuri, kuna watu inaonekana wamepona, lakini bado wanajisikia wana matatizo fulani. Hawajajua long twrm wffects zikoje, ugonjwa umejulikana kwa muda mfupi tu mpaka sasa.
Halafu sisi ambao hatupimi tuna dismiss.
Ukweli ni kwamba huu ugonjwa unapewa sifa hadi zinapitiliza.Ukweli ni kwamba, maisha ya mtu yana thamani ndogo sana Tanzania.
Ndiyo maana mtu anaweza kusema hiyo kauli ya kuweka mbele uchumi kuliko maisha ya mtu.
Ukweli ni kwamba hujatoa data, wala hujasema kwamba hii ni fact au opinion tu, wala hujasema kwamba unajua tofauti ya fact na opinion.Ukweli ni kwamba huu ugonjwa unapewa sifa hadi zinapitiliza.
Yapo magonjwa hapa Bongo yanaua watu wengi kuliko huo utopolo wenu mnaouita covid 19 lakini shughuli za kimaisha zilikuwa zikiendelea kama kawaida.Ukweli ni kwamba hujatoa data, wala hujasema kwamba hii ni fact au opinion tu, wala hujasema kwamba unajua tofauti ya fact na opinion.
Kwa nini unaandika ugonjwa unapewa sifa hadi zinapitiliza?
Ugonjwa ukipewa sifa hadi zinapitiliza maana yake nini? Maana yake haudhuru na kuua?
Sifa kupitiliza wapi? na ugonjwa usiopewa sifa za kupitiliza ni upi? Kwa sababu gani?
Wewe unauelewa huu ugonjwa sana kupita wataalamu wanaosema athari zake za muda mrefu hazijajulikana?
Hayo magonjwa ni mapya yasiyojulikana?Yapo magonjwa hapa Bongo yanaua watu wengi kuliko huo utopolo wenu mnaouita covid 19 lakini shughuli za kimaisha zilikuwa zikiendelea kama kawaida.
Ila wewe!Mpare mpenda sifa akitembea anavuta mgongo hadi kibiongo kishatoka hajitambui
Hatuwezi tukijifungia ndani kusubiri tuone athari za covid za muda mrefu. Wakati huo huo familia zinahitaji misosi.Hayo magonjwa ni mapya yasiyojulikana?
Unaelewa kwamba Covid-19 haijajulikana vizuri athari zake za muda mrefu?
Kwani nani kakwambia ujifungie ndani?Hatuwezi tukijifungia ndani kusubiri tuone athari za covid za muda mrefu. Wakati huo huo familia zinahitaji misosi.
Ndio maana tunaendelea kuchukua tahadhali za kawaida za usafi kama kutumia hand sanitizer na kunawa mikono mara kwa mara.
Kwa jinsi Rais Magufuli alivyoongoza nchi dhidi ya mapambano ya Corona , kuna mataifa ya Magharibi yanatamani kumuiga ila demokrasia zao za kipumbavu zinawachelewesha kuchukua maamuzi.
Mfano rahisi ni Trump, anatamani sana Marekani iige mfano wa Tanzania ila wapuuzi wa Democrat wanamzuia asiiokoe Marekani kutoka kwenye huo ujinga wa Covid.