Kitenge, Hando na Zembwela ni kama Zidane, Luis Figo na Ronaldo de Lima. Hakuna wa kuwagusa!

Mimi ni genius. Waliowai kukutana na mimi wanafahamu uwezo wangu.
 
Binafsi sio muumini sana wa makelele, acha niendelee kuskiza Power Breakfast tu. Sijaona morning program yyte kuizidi, mwaka wa 12 sasa nawaskiliza.
Na miaka mitatu sijasikiliza radio sasa kuna wiki imepita niliamkia mahali ndio nilivyoanza kuzisikia hizo kelele za hao jamaa asubuhi sikuzingatia sana nilizani ni watangazaji tu wa radio ndogo mikoani wakati wanaendelea na ulopokaji wao bila mipangilio kila mtu anaongea kwa wakati mmoja mda kidogo mfupi ikaja jingo ndio nikajua nasikiliza wasafi
 
Jibu kwa hoja,jibu hiyo comment yangu kwanza,
u genius hua haujifichi,ungeonekana tu hapa.
Sina huo muda mkuu. Wewe ni mmoja ya wajinga mnaonitukana sana hapa JF siwezi kufanya argument na wewe
 
Tanzania kuna kasumba ya kutengezea vibe aidha msanii, mtangazaji au mwanasiasa lakini ukitazama uhalisia huyo muhusika anaetengenezewa shavu hakuna la maana kiutendaji anafanya.

Its like kizazi cha sasa hakina uwezo wa kubaini talents za asili kinabakia kuongelea hizi talents za uchochoroni. Sasa ukiwatazama hawa jamaa me naona wanapiga kelele tu contents zero kabisa.
 
Kama uwasikilizi umejuaje kuwa wana kelele?
Una ugonjwa wa kuchukia watu haswa waliopiga hatua. Unateseka sana bidada.
Sasa ningewajuaje bila kuwasikiliza we kumbe ndo kilaza unaowahusudu hao viumbe eeh??

Kwani wana siku maalumu ya kupiga kelele, yani hata ukitune wasafi asubuhi kwa bahati mbaya unasikia kelele zao hao viumbe.
Sichukii waliopiga hatua hata kidogo, ila wanaokosea lazima wakosolewe.

NB. Kua na nidhamu kijana wa dabliyusibii mimi sio bidada. Hilo komwe kwenye avatar yangu linaweza kua la bidada kweli??
 
sinza pazuri soma hiyo...
 
Punguza chuki.
 
Anaitwa Charles William Ndo mtangazaji pekee mwenye akíli WASAFI Labda na EDO
 
Kitenge apunguze kelele na kujadili kwa ushabiki awaache wenzake wenye facts waongee. Anaharibu!
 
redio zote kubwa hapa bongo ukiondoa redio one huo ndio aina ya utangazaji wao wa magazeti, huwezi ukakuta mgeni akihojiwa kwa makelele kama mnavyodai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…