Kitenge, Hando na Zembwela ni kama Zidane, Luis Figo na Ronaldo de Lima. Hakuna wa kuwagusa!

Kitenge, Hando na Zembwela ni kama Zidane, Luis Figo na Ronaldo de Lima. Hakuna wa kuwagusa!

Uwezo wako wakufikiri na kupambanua mambo ni mdogo sana,hua unaanzisha thd ila huna uwezo wa kuzisimamia,unaazisha kama chawa tu,

Kwani kuna magazeti gani au Radio gani ukisoma/ukisikiliza huongeza hela kwenye account direct?

Kusoma magazeti, kusikiliza Radio au kuangalia tv inakua ni kuongeza maarifa au burudani,hayo maarifa ndio unaweza kuyatumia na kutengeneza hela,kwani wanaoangalia Mpira au movies au hata kusikiliza music hua wanaingiza hela direct kwenye account zao?

Yani Wasafi iwe bora kuliko BBC?
Mimi ni genius. Waliowai kukutana na mimi wanafahamu uwezo wangu.
 
Binafsi sio muumini sana wa makelele, acha niendelee kuskiza Power Breakfast tu. Sijaona morning program yyte kuizidi, mwaka wa 12 sasa nawaskiliza.
Na miaka mitatu sijasikiliza radio sasa kuna wiki imepita niliamkia mahali ndio nilivyoanza kuzisikia hizo kelele za hao jamaa asubuhi sikuzingatia sana nilizani ni watangazaji tu wa radio ndogo mikoani wakati wanaendelea na ulopokaji wao bila mipangilio kila mtu anaongea kwa wakati mmoja mda kidogo mfupi ikaja jingo ndio nikajua nasikiliza wasafi
 
Tanzania kuna kasumba ya kutengezea vibe aidha msanii, mtangazaji au mwanasiasa lakini ukitazama uhalisia huyo muhusika anaetengenezewa shavu hakuna la maana kiutendaji anafanya.

Its like kizazi cha sasa hakina uwezo wa kubaini talents za asili kinabakia kuongelea hizi talents za uchochoroni. Sasa ukiwatazama hawa jamaa me naona wanapiga kelele tu contents zero kabisa.
 
Kama uwasikilizi umejuaje kuwa wana kelele?
Una ugonjwa wa kuchukia watu haswa waliopiga hatua. Unateseka sana bidada.
Sasa ningewajuaje bila kuwasikiliza we kumbe ndo kilaza unaowahusudu hao viumbe eeh??

Kwani wana siku maalumu ya kupiga kelele, yani hata ukitune wasafi asubuhi kwa bahati mbaya unasikia kelele zao hao viumbe.
Sichukii waliopiga hatua hata kidogo, ila wanaokosea lazima wakosolewe.

NB. Kua na nidhamu kijana wa dabliyusibii mimi sio bidada. Hilo komwe kwenye avatar yangu linaweza kua la bidada kweli??
 
Tanzania kuna kasumba ya kutengezea vibe aidha msanii, mtangazaji au mwanasiasa lakini ukitazama uhalisia huyo muhusika anaetengenezewa shavu hakuna la maana kiutendaji anafanya.

Its like kizazi cha sasa hakina uwezo wa kubaini talents za asili kinabakia kuongelea hizi talents za uchochoroni. Sasa ukiwatazama hawa jamaa me naona wanapiga kelele tu contents zero kabisa.
sinza pazuri soma hiyo...
 
Sasa ningewajuaje bila kuwasikiliza we kumbe ndo kilaza unaowahusudu hao viumbe eeh??

Kwani wana siku maalumu ya kupiga kelele, yani hata ukitune wasafi asubuhi kwa bahati mbaya unasikia kelele zao hao viumbe.
Sichukii waliopiga hatua hata kidogo, ila wanaokosea lazima wakosolewe.

NB. Kua na nidhamu kijana wa dabliyusibii mimi sio bidada. Hilo komwe kwenye avatar yangu linaweza kua la bidada kweli??
Punguza chuki.
 
Kwa makelele wanayopiga huwa mara moja moja nawasikiliza kwenye mwendo kasi tu, hakuna ubunifu ni kupayuka tu na mizaha isiyokua na tija, kuna jamaa mmoja yuko wasafi yule aliyewahi kufanya mahojiano na pole pole jamaa yuko smart sana kichwani na anaufahamu wa kutosha sema Genge analokaa nalo studio huwa linafifisha kipaji chake.
Anaitwa Charles William Ndo mtangazaji pekee mwenye akíli WASAFI Labda na EDO
 
Kitenge apunguze kelele na kujadili kwa ushabiki awaache wenzake wenye facts waongee. Anaharibu!
 
Kwa makelele wanayopiga huwa mara moja moja nawasikiliza kwenye mwendo kasi tu, hakuna ubunifu ni kupayuka tu na mizaha isiyokua na tija, kuna jamaa mmoja yuko wasafi yule aliyewahi kufanya mahojiano na pole pole jamaa yuko smart sana kichwani na anaufahamu wa kutosha sema Genge analokaa nalo studio huwa linafifisha kipaji chake.
redio zote kubwa hapa bongo ukiondoa redio one huo ndio aina ya utangazaji wao wa magazeti, huwezi ukakuta mgeni akihojiwa kwa makelele kama mnavyodai
 
Back
Top Bottom