ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Maagizo ya waziri wa Nishati Mh. January ni kwamba kutokana na Wananchi kutopewa habari juu ya mikakati pamoja na kukatika umeme basi kitengo husika kimefeli hivyo kitengo hicho kibomolewe na kilete watu wengine.
Kazi za watu wa habari ni kuchukua habari kutoka kwa viongozi na watu wa fundi na kwenda kuhabarisha Wananchi. Hawatoi habari Kama wao.
Kitengo hiki kina watu zaidi ya 200 TANESCO Nzima nchini, na watu Hawa wanataaluma ya mambo haya tu, hata tanesco hawana spear ya watu Hawa, Ili watu Hawa waondolewe inabidi zitangazwe kazi, au watu wote Hawa walipwe uhamisho kwenda taasisi nyingine na waletwe watu kutoka kwingine ikiwemo halmashauri.
Toka matatizo ya umeme yameanza hatujaisikia Bodi mpya ya Tanesco ikitoa kauli yeyote angalau hata kuweka matumaini, wamepiga kimya.
Inavyoonekana huu mgao wa umeme wa chinichini utafukuzisha watu wa Tanesco sana.
Pia soma > Waziri Makamba avunja Kitengo cha Habari na Mawasiliano TANESCO kwa tuhuma za kushindwa kulisemea Shirika (Januari 25, 2022)