Kitengo cha Habari TANESCO kina wafanyakazi zaidi ya 200 nchini. Waondolewe waende wapi Waziri January?

Unajua hawa hawana wanachojua zaidi ya kutoa number ya Tatizo na uje utatuliwe tatizo baada ya 24 hrs
 
Kwan vipi?anataka aki-outsource hiko kitengo kwa wahindi Kama kawaida
 
Kwani ni lazima wafanye kazi tanesco?...mimi naona wafukuzwe tu..

Umeme unakatika kila siku lakini hawataki kutoa taarifa.
 
watu 200? Wanaripoti nini? Ndio maana shirika linafilisika
 
Duh watu 200 wa habari shirika la kuzalisha umeme? Hakika ni wengi kupindukia. Ndio maana tanesco badala ya kuzalisha na kusambaza umeme limekua shirika la watu wa kila aina kupiga hela huku serikali ikigharamikia uzembe na ulaji wa watumishi wake.
 
Naunga mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…