Hizi B26 hazitolewi mara moja kwa mkupuo wewe utopolo....alafu hiyo ya Mudi ni thamani ya hisa zake za 49% enzi hizo alipozinunua.Tunaipongeza Simba yetu kwa udhamini huu mnono, tusisahau kuwakumbushia zile B20 za mwamedi ili tujumlishie na hizi 26 ziwe 46 tuendeshee timu yetu tumpige gepu jirani yetu maana wanatamba sana
simba ni mavuvuzela tu ni kawaida kutangaza
Na hakuna kinachowekwa
Yanga ikitangaza kinawekwa
Yanga ni Bora kuliko timu yeyote Tanzania
Acha waendele na maigizoHuu mkataba unasainiwa mara 2 ndani ya miezi 2? Na Yanga wakisikia hivi wanawaambia Sportpesa watangaze upya wakati kwenye karatasi kuna vitu tofauti?
Acha waendele na maigizoHuu mkataba unasainiwa mara 2 ndani ya miezi 2? Na Yanga wakisikia hivi wanawaambia Sportpesa watangaze upya wakati kwenye karatasi kuna vitu tofauti?
Tunapewa kwa awamu aiseeHizi B26 hazitolewi mara moja kwa mkupuo wewe utopolo....alafu hiyo ya Mudi ni thamani ya hisa zake za 49% enzi hizo alipozinunua.
Mkuu kuwaelewesha majitu ya utopolo ni kazi sanaa hayajui mifumo ya fedha ya kisasa wanasahaunya kuwabhatabiyo B20 inaweza ika wekwa treasury bond ika zalisha faida ... Wapuuzi sanaa sanaaHizi B26 hazitolewi mara moja kwa mkupuo wewe utopolo....alafu hiyo ya Mudi ni thamani ya hisa zake za 49% enzi hizo alipozinunua.
Kwani ulisainiwa lini na lini!!??Huu mkataba unasainiwa mara 2 ndani ya miezi 2? Na Yanga wakisikia hivi wanawaambia Sportpesa watangaze upya wakati kwenye karatasi kuna vitu tofauti?