Kitengo cha Intelijensia cha Simba kipewe kongole

Kitengo cha Intelijensia cha Simba kipewe kongole

Tunaipongeza Simba yetu kwa udhamini huu mnono, tusisahau kuwakumbushia zile B20 za mwamedi ili tujumlishie na hizi 26 ziwe 46 tuendeshee timu yetu tumpige gepu jirani yetu maana wanatamba sana
Hizi B26 hazitolewi mara moja kwa mkupuo wewe utopolo....alafu hiyo ya Mudi ni thamani ya hisa zake za 49% enzi hizo alipozinunua.
 
simba ni mavuvuzela tu ni kawaida kutangaza

Na hakuna kinachowekwa

Yanga ikitangaza kinawekwa

Yanga ni Bora kuliko timu yeyote Tanzania
 
Hizi B26 hazitolewi mara moja kwa mkupuo wewe utopolo....alafu hiyo ya Mudi ni thamani ya hisa zake za 49% enzi hizo alipozinunua.
Mkuu kuwaelewesha majitu ya utopolo ni kazi sanaa hayajui mifumo ya fedha ya kisasa wanasahaunya kuwabhatabiyo B20 inaweza ika wekwa treasury bond ika zalisha faida ... Wapuuzi sanaa sanaa
 
Huu mkataba unasainiwa mara 2 ndani ya miezi 2? Na Yanga wakisikia hivi wanawaambia Sportpesa watangaze upya wakati kwenye karatasi kuna vitu tofauti?
Kwani ulisainiwa lini na lini!!??
Tofautisha kusaini na kumtangaza rasmi mdhamini mkuu baada ya utiaji saini.
 
Back
Top Bottom