Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Hizi B26 hazitolewi mara moja kwa mkupuo wewe utopolo....alafu hiyo ya Mudi ni thamani ya hisa zake za 49% enzi hizo alipozinunua.Tunaipongeza Simba yetu kwa udhamini huu mnono, tusisahau kuwakumbushia zile B20 za mwamedi ili tujumlishie na hizi 26 ziwe 46 tuendeshee timu yetu tumpige gepu jirani yetu maana wanatamba sana