KERO Kitengo cha Leseni za Biashara/Viwanda Vidogo, Wilaya ya Ilala kinachukua muda kushughulikia leseni

KERO Kitengo cha Leseni za Biashara/Viwanda Vidogo, Wilaya ya Ilala kinachukua muda kushughulikia leseni

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kero yangu ni Kitengo cha Leseni za Biashara/Viwanda Vidogo (SME), Wilaya ya Ilala. Kimekuwa kikichukua muda mrefu sana kushughulikia maombi ya leseni.

Unaweza kukuta umeomba leseni kupitia mfumo wa TAUSI, halafu inapita hata miezi minne bila kupata leseni. Ukienda kufuatilia, watumishi wao hawawezi kutoa msaada wowote mpaka ujiongeze.
 
Back
Top Bottom