Ustadh tongwe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2020
- 717
- 1,903
Hii idara ya mipango miji manispaa ya Kigamboni imekua kero sana tangu wapewe madaraka ya kupitisha baadhi ya leseni za biashara.
Mimi nimeomba leseni ya guest house ambayo lazima ianzie mipango miji lakini Sasa hv Ina mwezi mzima hawajapitisha Wala kunambia tatizo nini mpaka hawapitishi maombi yangu kama shida yao au wanataka niende physical wakati leseni tunaomba online.
Mimi nina apa sitoenda ofisini kwao nawasubiri siku waje kukagua leseni waniambie Sina leseni.