Kitengo cha uamasishaji Yanga imefeli sana

Smt016

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2016
Posts
3,012
Reaction score
4,300
Timu ya Yanga imepata nafasi ya kuingia katika tuzo za CAF katika vipengele viwili.. Cha kwanza ni kipa bora wa msimuNa ya pili ni klabu bora ya msimu. Ukiangalia, tokea ushindi wa goli tano zidi ya mtani wake wao wamekomaa na ishu hiyo hiyo moja na wakati mechi imeisha na hata ukisema uizungumzie mwezi mzima hakuna manufaa yeyote yale.

Baada ya ile mechi, nguvu kubwa ilipaswa ku focus kwenye tuzo za CAF kwa kuhamisisha watu mitandaoni na kwenye vyombo vya habari ikiwemo redio, tv na magezeti kuwaelekeza namna ya kupiga kura ili kujiongezea nafasi zinazowaniwa.

Timu ya Simba inapofikia maswala ya kupiga kura, utaona wanahamasishana kwenye kurasa rasmi za klabu, magroup mbalimbali na hata humu hufungua nyuzi juu ya kuwahamasisha mashabiki wao.

Lakini upande wa Yanga wameonesha kushindwa kumudu hilo jambo, sio afisa habari wala digital manager wote wapo wapo na mambo ya upuuzi uliopita na mechi iliyopita.
Mpaka sasa Diarra hayupo kwenye kinyang'anyiro cha tuzo hizo.
 
Timu ya Yanga imepata nafasi ya kuingia katika tuzo za CAF katika vipengele viwili.
Cha kwanza ni kipa bora wa msimu
Na ya pili ni klabu bora ya msimu.
Ukiangalia, tokea ushindi wa goli tano zidi ya mtani wake wao wamekomaa na ishu hiyo hiyo moja na wakati mechi imeisha na hata ukisema uizungumzie mwezi mzima hakuna manufaa yeyote yale.

Umeonyesha umbumbumbu wa hali ya juu mno....

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Screenshot_20231117-143002.jpg

Kwanza kaa ukijua kura wanapiga wenyewe caf na sio mashabiki
 
Timu ya Yanga imepata nafasi ya kuingia katika tuzo za CAF katika vipengele viwili.
Cha kwanza ni kipa bora wa msimu
Na ya pili ni klabu bora ya msimu.
Ukiangalia, tokea ushindi wa goli tano zidi ya mtani wake wao wamekomaa na ishu hiyo hiyo moja na wakati mechi imeisha na hata ukisema uizungumzie mwezi mzima hakuna manufaa yeyote yale.

Baada ya ile mechi, nguvu kubwa ilipaswa ku focus kwenye tuzo za CAF kwa kuhamisisha watu mitandaoni na kwenye vyombo vya habari ikiwemo redio, tv na magezeti kuwaelekeza namna ya kupiga kura ili kujiongezea nafasi zinazowaniwa.

Timu ya Simba inapofikia maswala ya kupiga kura, utaona wanahamasishana kwenye kurasa rasmi za klabu, magroup mbalimbali na hata humu hufungua nyuzi juu ya kuwahamasisha mashabiki wao.

Lakini upande wa Yanga wameonesha kushindwa kumudu hilo jambo, sio afisa habari wala digital manager wote wapo wapo na mambo ya upuuzi uliopita na mechi iliyopita.
Mpaka sasa Diarra hayupo kwenye kinyang'anyiro cha tuzo hizo.
Na ukajiona bonge la GT?
Unajua mchujo unapatikanaje?
 
Aliyesema “wenye akili ni wawili tu” wala hakukosea…

Nani kakuambia kura zinapigwa na mashabiki?
 
Back
Top Bottom