magagafu
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 1,196
- 1,309
Al Ahly nae ugenini Hana matokeo mazuri sijui ili mnalijua? Africa mpira sisi bado ndomana Kila timu inashinda kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu zingine zinafungwa ugenini ila angalau tunaona wanacheza mpira kama AS Vita, Al Ahly, Saoura, Nkana, ila Simba ugenini wanakimbia tu kama kuku waliokatwa vichwa.
Kwani Al Ahly jana walivyofungwa na vita walikua hawajui umuhimu wa mechi ya jana? Mpira wa Afrika kwa level ya klabu bingwa ukitaka kua competitive hakikisha nyumbani hupotezi. Hamna mechi iliyokua muhimu kwetu kama ile droo ya Saoura na Vita pale congo. Yale matokeo ndo yamefanya tuwe na nafasi kama tuliyonayo sasa. Vita taifa hachomoki, kivyovyote vileSio kirahisi hivyoo mkuu wale Vita watakuja kivingine hapa bongo tutakimbiana wao wenyewe wanajua umuhimu wa hiyo gem na Simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo timu nyingine kuna moja imeshinda ugenini?Wamezoea uganga na uchawi, wakati kule ni vipaji. Meddy Kagere *3 in Manara's Voice... Mzee wa do or die.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Chura alivyofungwa ugenini na Simba kweli alikata kiuno haswa..Timu zingine zinafungwa ugenini ila angalau tunaona wanacheza mpira kama AS Vita, Al Ahly, Saoura, Nkana, ila Simba ugenini wanakimbia tu kama kuku waliokatwa vichwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri nikiinanga Simba basi mie ni Yanga, fuatilia nyuzi zangu humu. Mie ni mwanaspoti sio shabiki lialia.Kama Chura alivyofungwa ugenini na Simba kweli alikata kiuno haswa..
Ingawa kimoko kilitinga.
Hata vita anajuta sana kutoka droo hiyo mechi maana anajua ugumu atakao kutuna nao akicheza na simba uwanja wa taifaKwani Al Ahly jana walivyofungwa na vita walikua hawajui umuhimu wa mechi ya jana? Mpira wa Afrika kwa level ya klabu bingwa ukitaka kua competitive hakikisha nyumbani hupotezi. Hamna mechi iliyokua muhimu kwetu kama ile droo ya Saoura na Vita pale congo. Yale matokeo ndo yamefanya tuwe na nafasi kama tuliyonayo sasa. Vita taifa hachomoki, kivyovyote vile
the Legend☆
Ni kweli mkuu, hamna mechi ambayo Vita anaijutia kama ile waliyodroo Congo na Saoura. Wangeshinda wangekua na 9 sahivi, hata wangefungwa na sisi taifa bado wangepita, h2h kati yetu na wao ingewabeba. Safari ya vita mwisho jumamosi taifa, wale waarabu watajuana wenyewe, ingawa naombea droo ili tuongoze kundi, Saoura awe wa pili (h2h inatubeba dhidi ya saoura)Hata vita anajuta sana kutoka droo hiyo mechi maana anajua ugumu atakao kutuna nao akicheza na simba uwanja wa taifa
Uko right kabisa ushindi upo upande wa simba labda wazingue,kama nyoni atakuwa amepona itakuwa njemaNi kweli mkuu, hamna mechi ambayo Vita anaijutia kama ile waliyodroo Congo na Saoura. Wangeshinda wangekua na 9 sahivi, hata wangefungwa na sisi taifa bado wangepita, h2h kati yetu na wao ingewabeba. Safari ya vita mwisho jumamosi taifa, wale waarabu watajuana wenyewe, ingawa naombea droo ili tuongoze kundi, Saoura awe wa pili (h2h inatubeba dhidi ya saoura)
the Legend☆
Simba taifa huwa inakua ni habari nyingine, wanakua na mentality flani ya tofauti sana. Binafsi lile kundi lilivyopangwa nlijua wazi kupata matokeo ugenini ni ndoto, hamna timu ya kiboya pale mpaka tukashinde ugenini. Ila sikuwahi kua na wasiwasi na Simba taifa. Na kama ulivyosema nyoni akirudi itakua poa sana, sinaga imani na bukaba na juukoUko right kabisa ushindi upo upande wa simba labda wazingue,kama nyoni atakuwa amepona itakuwa njema
Ni kweli hilo ni muhimu, ila sio kigezo pekee. Ah Ahly wana mpaka Ramadhan Sobhi alietokea Huddlesfield kwa mkopo, achilia mbali El Shahat, mwenye thamani ya 10b, ila bado ugenini wameambulia sare moja tu, tena kwa kuchomoa dk ya 85 kule Algeria. Tungekua tunapigwa mpaka game za nyumbani ingekua ni tatizo, ila as long as kila mtu anashinda kwake haina shida kabisaUmuhimu wa kuwa Na professionals wanaocheza timu zao za Taifa..
Simba ikimfunga Vita na kutinga robo fainali itakuwa ni Zawadi kubwa Sana kwa wadau wa soka hapa Tz.Ni kweli hilo ni muhimu, ila sio kigezo pekee. Ah Ahly wana mpaka Ramadhan Sobhi alietokea Huddlesfield kwa mkopo, achilia mbali El Shahat, mwenye thamani ya 10b, ila bado ugenini wameambulia sare moja tu, tena kwa kuchomoa dk ya 85 kule Algeria. Tungekua tunapigwa mpaka game za nyumbani ingekua ni tatizo, ila as long as kila mtu anashinda kwake haina shida kabisa
the Legend☆
Kuna mechi aliyocheza simba taifa ilikua rahisi?Wengi tunapenda Simba ishinde hapo kwa Mkapa ila hii mechi itakuwa ngumu sana maana kila mmoja ana nafasi ya kupita.
Swali zuri sana mkuu. Nawashangaa sana wanaosema eti game itakua ngumu sababu vita anajua umuhimu wake. Suala sio kujua umuhimu, kama ni umuhimu hata game waliyodroo na Saoura tena congo walijua umuhimu wake. Suala ni je wanaweza kutufunga nyumbani, katika mechi muhimu kwetu kuliko zote tulizocheza msimu huu, mechi ambayo tunajua fika tukishinda inaenda kuiweka Simba katika ramani ya soka la Afrika, mechi ambayo inaenda kuandika historia mpya ya klabu yetu, ndani na nje ya nchi, tena katika uwanja wa nyumbani, mbele ya mashabiki 60k+. To be honest sioni namna yoyote ambayo Vita anaweza kutoka salama taifaKuna mechi aliyocheza simba taifa ilikua rahisi?
Kinachoboa uwanjani ni utaratibu wa kuingia, mnaminyana kwenye foleni kama mabasi ya MwendokasiMuhimu mashabiki wenzangu waliopo dar na mikoa ya jirani, tujitokeze kwa wingi uwanjani. Umoja wetu ndio nguvu yetu, kama kauli mbiu yetu ya #nguvuMoja inavyosema. Mechi ya jumamosi ni mechi kubwa na muhimu kuliko zote tulizocheza msimu huu. Nguvu ya kucheza nyumbani ni mashabiki. Na mashabiki ndio sisi. Tusitegeane kwenda uwanjani, usipange kukosa. Uwepo wetu tu uwanjani ni silaha tosha ya kuwachanganya kisaikolojia Vita. Tutimize wajibu wetu kama mashabiki kwa kujitokeza kwa wingi Jumamosi, na kisha tumuachie kocha uchebe, benchi la ufundi na wachezaji kutimiza wajibu wao uwanjani kwa kuchukua points 3.
Vita tunawaheshimu, na tunaheshimu historia yao pia katika soka la Afrika, ila Jumamosi watatusamehe, tunahitaji points 3. Hamna namna nyingine
the Legend☆