Kitete cha Simba ugenini, nini shida?

Uko Sawa mkuu! Mechi ya jumamosi si muhimu kwa Simba pekee ila pia soka la Tz na Africa Mashariki kwa ujumla.
 
Uko Sawa mkuu! Mechi ya jumamosi si muhimu kwa Simba pekee ila pia soka la Tz na Africa Mashariki kwa ujumla.
Ni kweli kabisa mkuu. Kwa hili nlitegemea hata wapinzani wetu wa jadi waungane na sisi, ila wao ndo wamekua mstari wa mbele kujaribu kutuvunja moyo. Hawajui ya kua kwa Simba kufika mbali zaidi katika michuano hii sio tuu ni faida kwetu kama klabu, ila ni kwa soka la Tanzania kwa ujumla, kwa maana itaongeza 'coefficient' ya nchi, na kuleta uwezekano wa klabu zaidi ya moja kupata nafasi ya kushiriki klabu bingwa miaka ijayo. Watu wanashangaa inakuaje Congo wawe na Vita na Mazembe, au South Africa wawe na Orlando Pirates na Mamelodi (Brazilians) kwenye klabu bingwa, ilihali Tanzania ipo Simba tu. Hawajui performance ya timu za nchi husika kwenye michuano ya CAF inaongeza coefficient ya nchi, na ndiyo hiyo inaamua nchi husika ipeleke timu ngapi

the Legend☆
 
Kinachoboa uwanjani ni utaratibu wa kuingia, mnaminyana kwenye foleni kama mabasi ya Mwendokasi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu uwe unaingilia kule shamba la bibi, kule wanapoingiliaga Yanga. Hamnaga nyomi kama la kule mbele. Mimi huwa ndo nnapoingilia, nkishapita getini natembea kurudi upande pendwa wa mnyama

the Legend☆
 
Wachezaji wetu hawajiamini .wanajiona kama wamepotea njia wanabaki kubutua tu mpira bora liende.
Angalia hata timu yetu ya taifa ikiwa ugenini ni the same..
Klabu zetu zinapaswa kupata wachezaji wanaojiamini kwa uwezo wao hata wakiwa nje ya Tanzania.. Kwa timu ya taifa ni kupata players wengi wanaocheza soka la kulipwa ligi kubwa tofauti na yetu.
 
Zamarek, al ahly, esperance. Nszo zinakitete ugenini? Lazima tukubaliane kuwa kwa mfumo wetu wa africa ni ngumu kushinda ugenini. Tumetofautiana mengi sana haswa mazingira na hali ya hewa, Hii inatokea hata timu za kiarabu zikija kwenye ukanda wetu. Pili, timun zinakosa suport ya washabiki wachezaji wanakosa morali
 
Simba alifungwa mbili bila shamba la bibi tena ilikua fainali dhidi ya stella ya Abdjan mbele ya rais wa wakati uo Mzee Mwinyi. Tena Simba iliyokua imekamilika achana na Simba hii Chai ya rangi. Mfadhili mkuu wa Simba Azim Dewji alitoa ahadi ya gari aina ya (KIA) kia kila mchezaji lakini walipigwa. Juz kati wakaja Mazembe wakampiga simba 3 , Nyuma kidogo walikuja Enyimba kampiga simba 3 sasa vita wakija sijui ubao utasomekaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vita walishakuja na washaondoka pia. Vipi ubao ulisomekaje mkuu?

the Legend☆
 
Mohamed Mwameja muulize kuhusu hizo kia,pia mpira usikalili sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo ukiisoma hii post yako period inakushika hata mama ilishapita...😄😄😄 Mwezi huu wote utakuwa mwezini mpaka ukome kudandia dandia wanaume... Umeyaona sasa jana? Na bado.... Mwezi mzima unaenda hedhi....

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…