Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Nyama ya digidigi ni tamu sana.Watu wanauza wanyama na kusafrisha ulaya wanajipatia mabilioni mama wa watu kakamata digi digi ajipatie kitoweo, imekuwa nyara , na polisi kakaza fuvu kabisa
Uonevu sana wanyama wenyewe wa Mungu haouyo mama atapigwa 30yrs huo ni uonevu mkubwa.
Ndo maana tupo kwenye shthole kantri, unakuta mtu Kama Huyo analimwa 20yrs halaf mwizi wa mabilioni anaambiwa arudishe hela na fine ya 2m au kifungo cha 2yrsuyo mama atapigwa 30yrs huo ni uonevu mkubwa.
Anasamehewa kabisa , anaambiwa awamu iliyopita iliwaonea sana , na pesa anarudishiwaNdo maana tupo kwenye shthole kantri, unakuta mtu Kama Huyo analimwa 20yrs halaf mwizi wa mabilioni anaambiwa arudishe hela na fine ya 2m au kifungo cha 2yrs
Hawa watu wa maliasili wapumbavu sana.Hata wakikumata na unyoya watukapa kashikashi kama umeua tembo.Waelimisheni watu kenge nyie.
Kamateni hawa wakina Kikwete, mke wake, Riz one, Makamba, January Makamba haya ndio majizi na mengine ya ccm sio mnaonea watu masikini alafu nyinyi mnapiga mabilion alafu kutwa nzima mnaonea watu fukara.
Kwenda zako huko. Digidigi ni ishu?Siwalaumu watu wa malia asili. Elimu inatolewa sana , haswa kwa vijiji vinavyozunguka hifadhi, lakin binadamu ni ngumu kumdhibiti. Atavunja sheria tu
Wangapi wanajua ukikutwa kwenye hifadhi hata na kiwembe tu imekula kwako?.Elimisheni watu ,mnashupaza tu shingo na kuonea vidagaa.Siwalaumu watu wa malia asili. Elimu inatolewa sana , haswa kwa vijiji vinavyozunguka hifadhi, lakin binadamu ni ngumu kumdhibiti. Atavunja sheria tu
Kabisa ni uonevuWatu wanauza wanyama na kusafrisha ulaya wanajipatia mabilioni mama wa watu kakamata digi digi ajipatie kitoweo, imekuwa nyara, na polisi kakaza fuvu kabisa