miss confidence
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 393
- 273
Jamani Mimi nina tatizo katika matamshi yangu.Nimeathiriwa na kithembe...hivyo nashindwa kutamka " s" na "z" badala yake natamka "th", na " dha" ...wakuu je hali hii ikifika wakati Fulani nitaweza kutamka maneno haya kwa ufasaha??? Au inakuaje kwa upande wa hili tatizo..... Nikiongea mbele za watu Napata shida sana maana huwa wananichekka sana.