miss confidence
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 393
- 273
- Thread starter
- #41
Ahsante sana kaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sana kaka
Can't say so, but them drive di Rastaman crazy...Loooh....kwahiyo udhaifu wako ni KITHEMBE???
Am thiriouthyTheriudhlyy???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilidhani umeandika kinembe😀.
Nenda upareni utawapata wengi mkuu.Can't say so, but them drive di Rastaman crazy...
Bath pole thana aitheeeAm thiriouthy
Aaah[emoji87]Ahsante sana kaka
AthanteeeeBath pole thana aitheee
Choyo yanini tena???Aaah[emoji87]
thatha kwenye kaka hapo ni choyo wa makuthudi kabithaa
Mungu anakuona ujue
Ile ni effect ya lugha yao, sio OG kama cha wewe...Nenda upareni utawapata wengi mkuu.
Natania.
We mupare eee?, bathi utakua muchoyo weweNenda upareni utawapata wengi mkuu.
Natania.
Ooho...bathi thawaaa...Ile ni effect ya lugha yao, sio OG kama cha wewe...
Utaniitaje kaka!!Choyo yanini tena???
Unataka uitwe nani[emoji38] [emoji38] [emoji38]Utaniitaje kaka!!
[emoji87]
Mungu hapendi uchoyo ujue
Wewe itwa kaka tu, kubali mkuu doh,Aaah[emoji87]
thatha kwenye kaka hapo ni choyo wa makuthudi kabithaa
Mungu anakuona ujue
Aaaah [emoji23]Wewe itwa kaka tu, kubali mkuu doh,
Shukrani sanaaaaaaaaaaa mkuu kwa kwweli kwa maelezo yako nimejifunza na mengine mazuri zaidi....be blessed sana...Ulimwengu huu una mambo mengi sana ya kufurahisha....lakini kamwe hutaiona furaha ndani ya ulimwengu huu kama furaha yako inategemea mitazamo ya watu wengjne kukuhusu wewe....
Ili kuwa huru na kuyafurahia maisha ni lazima uache kuyatilia mkazo wa fikra mambo ambayo huwezi kushughulika nayo.....
Badala yake kadhania na kushughulika na mambo yanayokupa furaha na raha maishani mwako....
Si vyema kuacha maoni ya wengine yaongoze maisha yako....bali kile kilichopo ndani yako....
Kila mtu hapa duniani ana mapungufu yake na mahangaiko yake...lakini watu wana furaha maishani mwao si kwa kuwa wameyashinda mapungufu yao bali...wamejua namna ya kuishi na mapungufu hayo......
Tujifunze kuyapuuzia mambo madogo madogo ili tupate muda wa kuyafurahia mambo makubwa....
Si kila mtu anapenda vile jinsi maumbile yetu yalivyo lakini hakuna mtu ambaye aliamua au kupanga na Mungu kuwa aumbwe vipi....sisi sote ni kazi za mikono yake mitukufu.......
Hilo sio tatizo bali fikra zako juu ya hilo ndio zitakazofanya kuwa tatizo....kwani tayari umesharuhusu mitazamo ya watu itawale maisha yako.....
LIVE YOUR LIFE.....YOUR TIME IS LIMITED.....
Hahaha,Unataka uitwe nani[emoji38] [emoji38] [emoji38]