KITHEMBE KINANIFANYA NICHEKWE.

miss confidence

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2016
Posts
393
Reaction score
273
Jamani Mimi nina tatizo katika matamshi yangu.Nimeathiriwa na kithembe...hivyo nashindwa kutamka " s" na "z" badala yake natamka "th", na " dha" ...wakuu je hali hii ikifika wakati Fulani nitaweza kutamka maneno haya kwa ufasaha??? Au inakuaje kwa upande wa hili tatizo..... Nikiongea mbele za watu Napata shida sana maana huwa wananichekka sana.
 
Hiyo inaenda inaisha ,jifungie ndani ujifunze kuongea itaisha tu ,mimi nilikuwa na tatizo hilo ila nilijifunza kuongea ndani ya wiki tu nikawa naongea vizuri mpaka leo
 
Hiyo inaenda inaisha ,jifungie ndani ujifunze kuongea itaisha tu ,mimi nilikuwa na tatizo hilo ila nilijifunza kuongea ndani ya wiki tu nikawa naongea vizuri mpaka leo
Mkuu nimeisha jaribu tangu nikiwa na umri mdogo lakini sipati mabadiliko yoyote aiseeee.....
 
Daaaaah aiseeee acha tuuu ndugu yangu.... Yani kinaniboa Mimi maana huwa ninachekwa sana na kudhihakiwa nawatu wengi nikiwa naongea hasa kwenye mikusanyiko ya watu
Pole may b huwa wana kutani tu,
Kama kipo toka ukiwa mdogo si kosa lako endelea kuwa vile ulivo

Ila mi huwa nawakubali sana wenye wana sema thatha aaahahahaha
 
Pole may b huwa wana kutani tu,
Kama kipo toka ukiwa mdogo si kosa lako endelea kuwa vile ulivo

Ila mi huwa nawakubali sana wenye wana sema thatha aaahahahaha
Hahaaa ...shukrani sana mkuu...hivi hii haiwezi kunikosesha hata kazi...mfano kama nikitaka kua mtangazaji siku moja...????
 
Daah!
Basi mi huwa napenda wadada wenye kithembe.
Akiwa nacho mwanaume ndi kibaya, ila kwa mwanamke kinavutia.
si jambo baya na wala usipate shida nacho kwani ni kitu cha kuzaliwa nacho
*sijui kama kithembe nacho kinahesabika ni ulemavu
Shukrani sana mkuu.....daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…