Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,750
Yaani ile kuingia tu adai wazo lake lifanyiwe kazi na kuanzisha USA ,kwa maana ya United States of Africa,ingawa kuna upinzani mkali.
Nampa hongera kwa kuonyesha msimamo na pengine huyu mheshimiwa ataweiweza Afrika japo kidogo na harakati zake zinaweza kuonyesha kama sasa kumepatikana kiongozi mwenye msimamo mkali kimawazo,bila ya shaka vibaraka wa Marekani watamuwekea mguu lakini naona atawapakazia tu.Inajulikana kama Gadaf mwisho.
Will Africa ever get herself together again? Will her children ever return to her? Why is Gaddafi clamoring for the unity of Africa? Has God put the answer in the heart of Gaddafi? Tutaona.