Kiti Cha AU kimepata Mbabe

Kiti Cha AU kimepata Mbabe

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,750
gadaf.jpg


Yaani ile kuingia tu adai wazo lake lifanyiwe kazi na kuanzisha USA ,kwa maana ya United States of Africa,ingawa kuna upinzani mkali.
Nampa hongera kwa kuonyesha msimamo na pengine huyu mheshimiwa ataweiweza Afrika japo kidogo na harakati zake zinaweza kuonyesha kama sasa kumepatikana kiongozi mwenye msimamo mkali kimawazo,bila ya shaka vibaraka wa Marekani watamuwekea mguu lakini naona atawapakazia tu.Inajulikana kama Gadaf mwisho.

Will Africa ever get herself together again? Will her children ever return to her? Why is Gaddafi clamoring for the unity of Africa? Has God put the answer in the heart of Gaddafi? Tutaona.
gadaffi2.jpg


gadaffi203.jpg


gadaffi.jpg
 
amesha tangaza kwamba siasa ya vyama vingi havifai kwa kuwa nchi za Afrika zimejigawa kimakabila. Pendekezo lake ni kwamba, viongozi watawale kutokana na umaarufu wao siyo demokrasia za uchaguzi. Kisha anza kazi ya kudumaza fikra demokrasia na kuleta ubabe.
 
Kama ingekuwa hivyo basi kuna zitto saa hizi wangekuwa mawaziri , dr slaa na nani manake mpaka vichaa wanajua kuna dr slaa
 
Kama ingekuwa hivyo basi kuna zitto saa hizi wangekuwa mawaziri , dr slaa na nani manake mpaka vichaa wanajua kuna dr slaa
Fafanua maana naona umeunganisha jamaa wa Chadema hapa ,unatafuta jamaa wapandishe mori ,halafu Chadema ni eti ni Chama Cha Wamasai !! MMasai utakae muuliza atakwambia chama chake ni Chadema.
 
Zidumu fikra za "mtoto wa afrika" Osagyefo Kwame Nkrumah, tuondokane na hii mipaka bandia tuliyowekewa na Wakoloni.

Kwame Nkrumah alishasema Wakuu wakishazowea kupperushiwa bendera, kuimbiwa nyimbo za taifa na kupigiwa mizinga 21, itakuwa vigumu kupata United States of AFRIKA.

Jingine ni tatizo la ukoloni mamboleo kutugawa ili waendelee kututawala kimawazo na kiuchumi, huku wakifaidi mali yote ya Africa.

Tukitaka kufanikiwa kwa hili, tusingoje mpaka nchi zote zikubali. Tunaweza kuanza na nchi zilizo au zinazo kubali. Wenzetu wa Marekani walianza na nchi 13 tu. Baadae nchi zingine za ziada zikajiunga nazo.
 
Huyu Gaddhafi ni mwehu! Amepitwa na wakati. He is also a megalomania. Hamna kitu atakachofanya cha maana zaidi ya kuendeleza ubabe wake.
 
Huyu Gaddhafi ni mwehu! Amepitwa na wakati. He is also a megalomania. Hamna kitu atakachofanya cha maana zaidi ya kuendeleza ubabe wake.

Kati ya viongozi wanaojiamini duniani basi yeye anahesabika ni mmoja wao,huyu alijitoa katika umoja wa nchi za kiarabu na aliwaita wanafiki na kusema kuwa yeye ni mwafrika na atazithamini nchi za Kiafrika kuliko kukaa na wanafiki ambao ndani ya mkutano mnakubaliana mnapanga msimamo lakini mkitoka nje kila mmoja na lake.Hivyo tumsubirie tuone cheche zake yaani afadhali huyu ameingia na gear ya kupandisha mlima kuliko yule aliondoka,wala ulikuwa hujui kama Afrika kuna Mwenyekiti maana kila sheemu alikuwa kama mjumbe.

Ila huyu Mwenyekiti mpya si umeziona zile picha zake pale juu,yaani yumo kwenye sura zote.Hata ubangibangi inaonyesha yumo.
 
Hii club ya viongozi wa Africa sijui wanatumia criteria gani. Tusije hatutashangaa baada ya Gadhafi atafuata mbabe Mugabe au mbabe Al Bashir(2010) .. ..
 
Hii club ya viongozi wa Africa sijui wanatumia criteria gani. Tusije hatutashangaa baada ya Gadhafi atafuata mbabe Mugabe au mbabe Al Bashir(2010) .. ..

rule ni mzunguko hakuna geni
mbona idi amini dada alisha chair OAU
 
...uwendawazimu mtupu,Darful & Congo wanakufa kama kuku hawawezi hata kutuma askari mmoja wa kusaidia atleast kuweka buffer zone,sasa leo wanaongelea United States of what? na leo tuu NEPAD (African broadband project imekwenda kaputi kwa ajiri ya selfishness za waafrica) huku tumebaki kukamuliwa na satellite za wazungu in billions kila mwaka kwa ujinga wetu tuu,yaani aibu kubwa sana Africa hatuna chakula wala umeme tumebaki ombaomba tuu,Mugabe anamaliza watu wake na kuwafanya nusu ya nchi wakimbizi wa njaa tumebaki kumsingizia Tony Blair...sometimes naanza kuamini hatuna akili,kwanini sehemu wanazokaa wazungu hata kama ni Africa maendeleo yanakuwepo(South Africa,Zimbabwe ya wakati ule,Namibia etc),tumebaki kusingizia kila kitu wazungu na ukoloni huku njaa,Richmond,EPA etc vikitumaliza
 
2009-02-05 06:45:00

Angry Gaddafi storms out of AU conference
By Henry Owour, Citizen Correspondent, Addis Ababa
THE CITIZEN​

The African Union met until the wee hours yesterday but failed to agree on the creation of a new body to move the continent towards a single government.

It all unravelled when Libyan leader Muammar Gaddafi stormed out of the meeting room just after 2am yesterday and a few minutes later, all the leaders filed out.

Asked why Col Gaddafi had stormed out, Tanzanian Foreign minister Bernard Membe said Gaddafi "may have felt unwell."

Yesterday's deadlock followed a deal on Sunday under which the AU was to create an "African Union Authority" with a president, a vice-president and secretaries for various portfolios such as foreign affairs, climate change, poverty eradication, research and pandemics such as Aids.

As he walked out of the meeting, Kenyan Foreign minister Moses Wetangula said: "We will have a report by nine in the morning."
But, by 2pm yesterday, the leaders were still meeting.

Sources at the meeting told The Citizen that Colonel Gaddafi, who is chairman of the AU stormed out because he did not agree with his colleagues on three main issues.

On the first issue, the leader fell apart on the naming of the new authority to run Africa and on another issue, leaders refused to name Col Gaddafi "king of kings" as he demanded.

On the third issue, there was no agreement on the nature of portfolios to be created in the envisaged structure.


Earlier, as the summit opened, Colonel Gaddafi and Ugandan President Yoweri Museveni clashed over the use of traditional leaders by the Libyan leader to push his agenda for the creation of a United States of Africa.

At a debate that saw many interjections by Mr Museveni, the Ugandan leader warned that he would arrest any traditional leader in his country who claimed to speak for Col Gaddafi.

The main dispute over creation of the new continental body currently is at the technical level as on Sunday, the AU agreed to convert the its commission into the 'African Union Authority.'

The dispute now is over the powers that the new authority should enjoy. At another level, there are questions over the powers that the members of the AU are ready to cede to the new authority.

What is also emerging is that Colonel Gaddafi, who replaced Tanzanian president as the new chairman of the AU on Monday, is riding roughshod over other members of the AU at its debates.

According to sources who briefed The Citizen here, only two leaders have been taking Col Gaddafi to task in the debate over the new body to be created by the AU.

The two leaders are Mr Museveni and Zimbabwean President Robert Mugabe.

What is happening currently is that many AU leaders are either on their way out or are too new and as such can hardly take on a leader who has been in power for close to 40 years.

Under the deal the Africa Union commission is to become the African Union Authority in July 2009 with the authority focusing on nine fields of continental cooperation projects.

However, the headquarters will remain in Addis Ababa, Ethiopia, and current AU chief also will be the president of the Authority Secretariat.
 
Naanza kuelewa kwa nini Reagan alimuita "mad dog of the Middle East". Dalili zinajionyesha ..
 
It was a big mistake to give him the chairmanship of AU.
 
It was a big mistake to give him the chairmanship of AU.

BAK, You wished Kikwete to be a life chairman of AU....viongozi wengi wa nchi zetu wapo hivyo...Mugabe, Kibaki, Museveni, Kagame the list is so long.....

Masa
 
Gaddafi tutamsikia mwaka huu! Ule msemo "kichaa kapewa panga" umeonyesha kuwa kweli tangu "day one"!.
 
Wandugu...Kanali Muammar Abu Minyar al-QADHAFI hajui kitu kinaitwa demokrasia...kule kwake amekuwa raisi tangu 1969..anakuwa "bully" kwa sababu akimuangalia mtu kama Membe anamuona kijana mdogo ambaye hawezi kuwambia kitu.
 
Ghadafi analeta mambo gani tena?

Hivi Gamba kinachokushangaza ni nini kuhusu huyo Gaddafi? Ni dictator wa kutupwa na hafai kuwa Mwenyekiti wa AU. Kinachonishangaza ni kwa nini hawa Marais waliohudhuria kikao hicho hawaku-table motion ya kutokuwa na imani naye baada ya kitendo chake cha kutoka nje.
 
...AU is just another African joke,sijui kwanini wanapoteza pesa na muda wao kwenda Ethiopia,Gaddafi naye ni mwendawazimu mwingine tuu na fantasy za kuwa mfalme wa waafrica,acheni wajifurahushe tuu na comedy club yao maana vikao vikiisha kila kila kitu kitaishia kwenye dustbin.
 
Back
Top Bottom