Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Nimeota Kikwete kaokoka na amekivunja kiti chake, kikaaza kutiririsha damu. Ndoto ilikuwa ya kutisha sana
you mean utawala wake utasababisha kumwagika damu? au mgawanyiko wa serikali yake uta -una - sababisha vifo, mauaji? Be afraid!
Halafu nasikia kina gari spesho la kukibeba
shauri ya imani mbovu mbovu hizo,
hata maji aliyokuwa anakunywa siku anaongea na wazee wa bongo
yalikuwa siyo maji ya kawaida.
shauri ya imani mbovu mbovu hizo,
hata maji aliyokuwa anakunywa siku anaongea na wazee wa bongo
yalikuwa siyo maji ya kawaida.
how did you know that the drink he took on that day wasn't the regular H2O we normally use?
how did you know that the drink he took on that day wasn't the regular H2O we normally use?
maji gani yako calored?
Mkuu Wilbald, yale maji kwa muonekano tu yalikua yako coloured! Na moja ya properties za maji ni kuwa colourless, sasa kwa kuzingatia hilo, ni sahihi kutoa conclusion​ ya kwamba yale maji yalikua siyo ya kawaida.
Mkuu sikia kwa wanaofuatilia kila kittu mkuu ni kweli kile kiti hata akiwa Mbeya anacho tuu unabisha anza leo kuchunguzaSidhani kama ni kweli. Ina maana hata akifanya geographic expeditions ​zake uwa anakibeba?!
mi nikadhani anapiga kiroba cha konyagi amechanya na fanta pineapple, kumbe alikuwa anakunywa supu ya pweza!!
watu wanaelewa kwamba yale siyo maji ya kawaida,
au ni glucose au ni kauji kembamba,
ni lazima ana mambo ambayo siyo ya kawaida.
Mkuu sikia kwa wanaofuatilia kila kittu mkuu ni kweli kile kiti hata akiwa Mbeya anacho tuu unabisha anza leo kuchunguza
mkuu wilbald, yale maji kwa muonekano tu yalikua yako coloured! Na moja ya properties za maji ni kuwa colourless, sasa kwa kuzingatia hilo, ni sahihi kutoa conclusion​ ya kwamba yale maji yalikua siyo ya kawaida.
inawezekana ni konyagi ice zimerudi tena nini? au rose H2O?
Nyerere, Mwinyi na Mkapa walikuwa hawasafiri na viti.
Niliwahi kudhani kuwa ni viti vinavyofanana, lakini katika katika mikutano fulani , Mbagala, Diamond Jubilei, Mwanza, Arusha na Iringa ndiyo nilihakikisha kuwa ni kiti kiti kile kile husafirishwa popote aendapo ndani ya nchini lakini si katika mikutano na marais wenzake.
Ni utara ibu wa rais kutumia viti vya ikulu hata mkapa and many presidents do tha same
kama obama atatembea na gari yake everywhere kiti ni minor thngs
just security isues