kalukamise
JF-Expert Member
- May 4, 2011
- 683
- 191
Ni taratibu za wale wajenzi nini hata sikumbuki vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama yake alishatangulia mbele za hakihadi nyumban kwao kwa mama yake huwa anakalia kiti gani?kwa hyo hadi kiti cha kukalia atakachopewa na mamaake anakikataa?
Ni utara ibu wa rais kutumia viti vya ikulu hata mkapa and many presidents do tha same
kama obama atatembea na gari yake everywhere kiti ni minor thngs
just security isues
Jk kila aendako anabeba kiti na kuzunguka nacho, hakalii kiti kingine.
Je hicho kiti kina nini spesho?
Kwanini hataki kukalia viti vingine?
kama Obama vile,kila anapokwenda anamagari yake na ndege yake.
Tehe tehe tehe tehe tehe,uongozi bhana.
Jk kila aendako anabeba kiti na kuzunguka nacho, hakalii kiti kingine.
Je hicho kiti kina nini spesho?
Kwanini hataki kukalia viti vingine?
Mkuuu hujui ulisemalo.
Kiti hicho kinatangulia kila trip ya Rais hapa nchi,kina usafiri wake na mtu wa kukibeba.
Utata ulizuka siku alipoalikwa na maasikofu wao wameandaa kitu wanaletewa kiti kingine,tangu hapo maasikofu alitamani amalize na kuondoka na kauli yake ya kuwa viongozi wa deni wanauza unga wala awakuisikia wao waliwazaa juu ya kiti kile.
Mh haache ushirikina.