Kiti cha plastiki chakatisha maisha ya Kijana Steven Mbomambuzi, Moshi

Kiti cha plastiki chakatisha maisha ya Kijana Steven Mbomambuzi, Moshi

May all beings attain enlightenment.

Hivi vifo vinaonesha jamii haijali maisha ya mtu.

Mtu kalewa kapotea njia, anauawa.

Mtu ana matatizo ya akili kakutwa anatembea bila nguo, anauawa.

Bodaboda zinachinja watu kama kuku, hakuna anayejali.

Ni dalili ya jamii iliyojaa ujinga, umasikini na kutojali maisha ya mtu.
Hiyo yote huwa ni mipango ya Mungu. Wachungaji wanatuambia Mungu alimpenda zaidi.
 
Hiyo yote huwa ni mipango ya Mungu. Wachungaji wanatuambia Mungu alimpenda zaidi.
Mungu hayupo, ni chaka limetngenwzwa na watu tu, la kutupia mambo ambayo yanaleta maswali magumu tu.

Watu wengi hawataki kujisumbua na maswali magumu wanayatupa kwenye chaka walilolitengeneza wenyewe la huyo Mungu tu.
 
Back
Top Bottom