DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Amesema hayo Bungeni leo Juni 24, 2025.
Kitila bana, alisema Mbowe haiingii kwenye uchaguzi ambao anajua atashindwa. Leo hii anacheza na maneno yale yale kwa sababu anajua ubovu wa mifumo utatoa matokeo ayatakayo.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander Mkumbo amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakiingii kwenye Uchaguzi bila utafiti na Utafiti umeonesha Watanzania wengi wanaunga mkono Serikali ya CCM na hali ni mazuri sana.
Amesema hayo Bungeni leo Juni 24, 2025.
Kitila ndio kawa mjinga hivi kweli?? Si tafiti aliwahi kuzifanya hata yeye mwenyewe?? Anataka tumkumbushe?Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander Mkumbo amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakiingii kwenye Uchaguzi bila utafiti na Utafiti umeonesha Watanzania wengi wanaunga mkono Serikali ya CCM na hali ni mazuri sana.
Amesema hayo Bungeni leo Juni 24, 2025.
Kama ni hivyo vipi ccm inaogopa uchaguzi huru? Haiwezekani mshindani achague wasimamizi wa ushindani. Ccm inakubalika kwa police, TISS,magereza,uhamiaji and the like. Unakubalika halafu unamwogopa Tundu Lisu kweli?Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander Mkumbo amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakiingii kwenye Uchaguzi bila utafiti na Utafiti umeonesha Watanzania wengi wanaunga mkono Serikali ya CCM na hali ni mazuri sana.
Amesema hayo Bungeni leo Juni 24, 2025.
Utafiti rahisi ni uchaguzi wa haki na huru basi hakuna kingine, wawaache wakurungwa wakachinje watu kwenye ballotsWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander Mkumbo amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakiingii kwenye Uchaguzi bila utafiti na Utafiti umeonesha Watanzania wengi wanaunga mkono Serikali ya CCM na hali ni mazuri sana.
Amesema hayo Bungeni leo Juni 24, 2025.
Ndio hizi hasira ambazo mh waziri amezisema.Huyu mzee huwa ni mwendawazimu haswa
anafikiri kwa kuwa wanasomba watu na kuwapa pesa, tisheti kofia baiskeli ndiyo kuungwa mkonoWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander Mkumbo amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakiingii kwenye Uchaguzi bila utafiti na Utafiti umeonesha Watanzania wengi wanaunga mkono Serikali ya CCM na hali ni mazuri sana.
Amesema hayo Bungeni leo Juni 24, 2025.
Ukweli ni kwamba Mh Mbowe na team yake hawakutegemea kushindwa ndio maana baada ya kushindwa wamebaki na vinyongo utafikiri wanawake wa uswahilini.Kitila bana, alisema Mbowe haiingii kwenye uchaguzi ambao anajua atashindwa. Leo hii anacheza na maneno yale yale kwa sababu anajua ubovu wa mifumo utatoa matokeo ayatakayo.
na huo ni Ukweli mtupu wa kisayansi.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander Mkumbo amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakiingii kwenye Uchaguzi bila utafiti na Utafiti umeonesha Watanzania wengi wanaunga mkono Serikali ya CCM na hali ni mazuri sana.
Amesema hayo Bungeni leo Juni 24, 2025.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander Mkumbo amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakiingii kwenye Uchaguzi bila utafiti na Utafiti umeonesha Watanzania wengi wanaunga mkono Serikali ya CCM na hali ni mazuri sana.
Amesema hayo Bungeni leo Juni 24, 2025.
Naomba mjadala wa wazi na huyu Prof, nitamfundisha kwamba hata darasa la saba wapo na hoja za mashiko ,uzuri kasema anaeipinga ccm aje na hoja, sio kutekana ,huyu atakimbia studio.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander Mkumbo amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakiingii kwenye Uchaguzi bila utafiti na Utafiti umeonesha Watanzania wengi wanaunga mkono Serikali ya CCM na hali ni mazuri sana.
Amesema hayo Bungeni leo Juni 24, 2025.
Walimu wa kufundisha wasio yaishi Sio yeye tu Kabudi wengi ila kipindi wanafundisha ni wa moto ngozi nyeusi ipe Madaraka na PesaKuna Profesa alipata kusema kuna tabaka hatari limeibuka akatumia msemo wa kigeni Elite Scavengers hawa ni watu hatari sana wamesoma lakini kwa makusudi wanatumia utaalamu wao kufanya uchawa kwaajili ya nafasi na maslahi yao binafsi kwakua Elimu hailipi tena nchi hii wote wanafukuzia teuzi
No reform No Election
CCM inaungwa mkono na Machawa, sio wananchi.na huo ni Ukweli mtupu wa kisayansi.
eti mropokaji na mihemko yake anapinga kwa ghadhabu tu mambo bayana kabisa yaan dah 🐒