Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Imeelezwa kuwa wakati Tanzania ikiwa na nguvu kazi kubwa ya watu milioni 33, sekta ya umma imeajiri chini ya watu milioni moja, jambo linalothibitisha kuwa serikali haiwezi kuwa injini kuu ya uzalishaji wa ajira. Hayo yamefafanuliwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof.
Kitila Mkumbo Machi 27, 2026, jijini Dar es Salaam, wakati wa Mkutano wa Uhakiki wa Rasimu ya Mpango wa Pili wa Kuboresha Mazingira ya Biashara na Uwekezaji (MKUMBI 2). Prof. Kitila amesema utajiri wa kweli na ajira vinatengenezwa pekee kupitia biashara binafsi, akirejea misingi ya uchumi wa kisasa kutofautisha kati ya utumishi wa umma uliotulia na ustawi wa kweli wa kiuchumi.